Get to know Nchimbi first ndio useme haya, hizi ndio siasa zake, ambazo very unfortunate hazipendwi na CCM wengi, kuwa mwana diplomasia sana ni kutaka CCM ishindwe vibaya sababu imechokwa. WanaCCM wanamhitaji kiongozi ambaye atawasaidia kushinda kimfumo, bila kujali ameburuza wapinzani wake kiasi gani, mtu ambaye atawasaidia kutamba kwa mabavu, na kusema ile kauli ya “vijana jeuri ya chama” mtu ambaye atawafanya wazurure na sare zao bila kuzomewa (Jakaya vs Magufuli)
Nchimbi ni aina ya kiongozi ambaye mtashindana majukwaani hasa hasa atawavizia awaibie kura, ndio maana gap la matokeo linakuwa 64/40 etc. yale mambo ya CCM kushinda kwa 90% hawa wazee huwa hawaintertain.
kuna watu walidhani atapewa u-KM toka 2015s kwa bahati mbaya “watu wale” walikuja kugundua hawataendana na siasa zake ndio maana akatupwa ubalozini. (Of course alipewa ubalozi kuwekwa mbali na siasa za ndani) Ndiooo akapatikana yule mburundi mwingine kutoka CUF.
Kama kuna kiongozi yeyote wa upinzani atapewa kesi ni kwasababu tu kuna watu ni sikio la kufa, iła amini hivyo kuwa kuna viongozi wengi tu hawapendi hayo mambo.