ualimu(primary&secondary) eti una uhusiano na heading hapo juu..............nionapo hizo thread/post huwa nakata tamaa........ni maneno ya rafiki yangu ambaye yupo third year DUCE pale.....eti wadau kuna ukweli wowote kuhusu hili? N.B.Toa Sababu ambazo ni reasoning
Ualimu mtamu na siuachi, ukifundisha watu wote kimya wanakusikiliza wewe tu unatema chakula cha ubongo.
hamna mi nipo nakisanua medical school,ni huzuni ya rafiki yangu iliyonifanya nipost hapa jamvini kuona kama kuna ukweli wowotesasa kama rafki yako ambaye yuko watatu anasema hivo ivo sembuse wewe ambaye hata mwaka aujaanza .
Owkeeey itakuwa ni wewe ndo unasomea afu unadai mwenzako .
Juc follow your interest and your intrest will follow u.
Ualimu ni kazi kama kazi nyingine.
Mimi nilianza certificate nikapiga vizuri nikapangwa shule mazoezi, mwaka huu nimepiga paper la form six result imekuja vema niko chuo kikuu mwaka wa kwanza na M/Mungu akinijalia nina matumaini ya kufika mbali zaidi.
Ualimu mtamu na siuachi, ukifundisha watu wote kimya wanakusikiliza wewe tu unatema chakula cha ubongo.Mi naona fahari kuwapa watu maarifa ambayo hawakuwa nayo kabla sijawafundisha.
Excellent!Ualimu ni kazi kama kazi nyingine. Mimi nilianza certificate nikapiga vizuri nikapangwa shule mazoezi, mwaka huu nimepiga paper la form six result imekuja vema niko chuo kikuu mwaka wa kwanza na M/Mungu akinijalia nina matumaini ya kufika mbali zaidi. Ualimu mtamu na siuachi, ukifundisha watu wote kimya wanakusikiliza wewe tu unatema chakula cha ubongo.Mi naona fahari kuwapa watu maarifa ambayo hawakuwa nayo kabla sijawafundisha.
ualimu(primary&secondary) eti una uhusiano na heading hapo juu..............nionapo hizo thread/post huwa nakata tamaa........ni maneno ya rafiki yangu ambaye yupo third year DUCE pale.....eti wadau kuna ukweli wowote kuhusu hili? N.B.Toa Sababu ambazo ni reasoning
kuna utafiti nafanya kuhusu ualimu, niliuanza nilipokuwa chuo cha ualimu sasa nipo hatua za mwisho..nitawaletea!