"ualimu ni kupoteza muda"

"ualimu ni kupoteza muda"

spleen

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
4,079
Reaction score
6,788
ualimu(primary&secondary) eti una uhusiano na heading hapo juu..............nionapo hizo thread/post huwa nakata tamaa........ni maneno ya rafiki yangu ambaye yupo third year DUCE pale.....eti wadau kuna ukweli wowote kuhusu hili? N.B.Toa Sababu ambazo ni reasoning
 
sasa kama rafki yako ambaye yuko watatu anasema hivo ivo sembuse wewe ambaye hata mwaka aujaanza .
Owkeeey itakuwa ni wewe ndo unasomea afu unadai mwenzako .
Juc follow your interest and your intrest will follow u.
 
Ualimu ni kazi ya wito!haina ufahari sana wala utajiri.ni bora kufanya maamuzi ya busara kabla ya kujiunga na mafunzo.
 
Ualimu ni kazi kama kazi nyingine.
Mimi nilianza certificate nikapiga vizuri nikapangwa shule mazoezi, mwaka huu nimepiga paper la form six result imekuja vema niko chuo kikuu mwaka wa kwanza na M/Mungu akinijalia nina matumaini ya kufika mbali zaidi.

Ualimu mtamu na siuachi, ukifundisha watu wote kimya wanakusikiliza wewe tu unatema chakula cha ubongo.Mi naona fahari kuwapa watu maarifa ambayo hawakuwa nayo kabla sijawafundisha.
 
Ehe swal dogo 2 maisha halisi walimu waliokufundisha
 
sasa kama rafki yako ambaye yuko watatu anasema hivo ivo sembuse wewe ambaye hata mwaka aujaanza .
Owkeeey itakuwa ni wewe ndo unasomea afu unadai mwenzako .
Juc follow your interest and your intrest will follow u.
hamna mi nipo nakisanua medical school,ni huzuni ya rafiki yangu iliyonifanya nipost hapa jamvini kuona kama kuna ukweli wowote
 
Ualimu ni kazi kama kazi nyingine.
Mimi nilianza certificate nikapiga vizuri nikapangwa shule mazoezi, mwaka huu nimepiga paper la form six result imekuja vema niko chuo kikuu mwaka wa kwanza na M/Mungu akinijalia nina matumaini ya kufika mbali zaidi.

Ualimu mtamu na siuachi, ukifundisha watu wote kimya wanakusikiliza wewe tu unatema chakula cha ubongo.Mi naona fahari kuwapa watu maarifa ambayo hawakuwa nayo kabla sijawafundisha.

kama unafundisha na wote wako kimya, hiyo ni ROTE LEARNING! Darasa lazima lichangamke. Participatory approach is the best
 
Upo uzi wa namna hii. Tumia search engine utaupata
 
alokwambia hana akili unaeza ukawa mfuga ndege na kama una plan unapata mafanikio...mafanikio ni mtu mwenyewe.
 
kuna utafiti nafanya kuhusu ualimu, niliuanza nilipokuwa chuo cha ualimu sasa nipo hatua za mwisho..nitawaletea!
 
Ualimu ni kazi kama kazi nyingine. Mimi nilianza certificate nikapiga vizuri nikapangwa shule mazoezi, mwaka huu nimepiga paper la form six result imekuja vema niko chuo kikuu mwaka wa kwanza na M/Mungu akinijalia nina matumaini ya kufika mbali zaidi. Ualimu mtamu na siuachi, ukifundisha watu wote kimya wanakusikiliza wewe tu unatema chakula cha ubongo.Mi naona fahari kuwapa watu maarifa ambayo hawakuwa nayo kabla sijawafundisha.
Excellent!
 
ualimu(primary&secondary) eti una uhusiano na heading hapo juu..............nionapo hizo thread/post huwa nakata tamaa........ni maneno ya rafiki yangu ambaye yupo third year DUCE pale.....eti wadau kuna ukweli wowote kuhusu hili? N.B.Toa Sababu ambazo ni reasoning

Kwa upeo huo sikushangai kuanzisha thread kama hii. Poor thing..
 
mi nliacha kwa sababu nliona napoteza muda na naelekea kuzeeka masikini. NI KWELI KABISA
 
Back
Top Bottom