Na huu ujinga ndio unafanya tuwe na maisha magumu. Unakopeshwa bila riba unashindwaje kurudisha hela na ulikuwa na ahida na ukasaidiwa.Leo nimkutana na hiki kisa mshikaji analalamika: Mwanao anakupigia simu ana shida ya HELA anakwambia nitaregesha baada ya siku mbili, kimoyomoyo unasema ngoja nimpe tu mwanangu asovu mambo yake wala hakuna haja ya kunirudishia.
Ghafla baada ya siku mbili unampigia mwanao simu kapiga BLOKU afu ww ulitaka kumsalimia tu yy alijua utamdai Hela yako.
Life have got a lot of surprises.
Ilinikumbusha mwanangu Minja aliomba mkopo wa 500k tu ambao angerejesha ndani ya wiki moja ili asolve kipengele cha chap na aliyekuja kuchukua hizo pesa ni mchumba wake , ili kulinda heshima ya mwana nilimwambia shemeji ile pesa ninayompatia mshikaji alikuwa ameniazima siku za nyuma hivyo ninarejesha, ghafla wiki ikawa mwezi ikawa miezi mitatu, mara mwana hapokei kabisa simu, sms hajibu eventually akaniblock , kilichonisikitisha ni kwamba mwana uwezo wa kulipa hizo hela alikuwa nao na nilikuwa nashuhudia bata analokula, na kwasababu tuko na kazi ya aina moja na social life ninafaham uwezo wa kulipa alikuwa nao. Ilibidi eventually baada ya mwaka nimshirikishe uhalisia wote mchumba wake huyo aliyekuja kuchukua hizo pesa kwangu. Yule dada alisikitika sanaaa, to the extent alilia, masaa machache baadaye mwana alinipigia simu kwa aibu akiomba misamaha kibao .kesho yake alituma pesa yangu pasipo hata ya kutolea 😅. Urafiki uliyumba sanaa sio washikaji tena kama zamani.
Nini huwa kinawapa watu ugumu kurejesha mikopo hata pale wanapokuwa na uwezo wa kufanya hivyo?
Ni ujinga mwingi na kutothamini utu! Hakuna zaidi.Leo nimkutana na hiki kisa mshikaji analalamika: Mwanao anakupigia simu ana shida ya HELA anakwambia nitaregesha baada ya siku mbili, kimoyomoyo unasema ngoja nimpe tu mwanangu asovu mambo yake wala hakuna haja ya kunirudishia.
Ghafla baada ya siku mbili unampigia mwanao simu kapiga BLOKU afu ww ulitaka kumsalimia tu yy alijua utamdai Hela yako.
Life have got a lot of surprises.
Ilinikumbusha mwanangu Minja aliomba mkopo wa 500k tu ambao angerejesha ndani ya wiki moja ili asolve kipengele cha chap na aliyekuja kuchukua hizo pesa ni mchumba wake , ili kulinda heshima ya mwana nilimwambia shemeji ile pesa ninayompatia mshikaji alikuwa ameniazima siku za nyuma hivyo ninarejesha, ghafla wiki ikawa mwezi ikawa miezi mitatu, mara mwana hapokei kabisa simu, sms hajibu eventually akaniblock , kilichonisikitisha ni kwamba mwana uwezo wa kulipa hizo hela alikuwa nao na nilikuwa nashuhudia bata analokula, na kwasababu tuko na kazi ya aina moja na social life ninafaham uwezo wa kulipa alikuwa nao. Ilibidi eventually baada ya mwaka nimshirikishe uhalisia wote mchumba wake huyo aliyekuja kuchukua hizo pesa kwangu. Yule dada alisikitika sanaaa, to the extent alilia, masaa machache baadaye mwana alinipigia simu kwa aibu akiomba misamaha kibao .kesho yake alituma pesa yangu pasipo hata ya kutolea 😅. Urafiki uliyumba sanaa sio washikaji tena kama zamani.
Nini huwa kinawapa watu ugumu kurejesha mikopo hata pale wanapokuwa na uwezo wa kufanya hivyo?
Hapo kwenye shaba ndio umekosea!Na huu ujinga ndio unafanya tuwe na maisha magumu. Unakopeshwa bila riba unashindwaje kurudisha hela na ulikuwa na ahida na ukasaidiwa.
Ndio yale yale ya mkopo wa chuo. Mtu umekubali kuwa ukimaliza na kupata kazi utarudisha. Unapata kazi hutaki kurudisha alafu unaanza fyoko fyoko oh hiki mara kile....kwanza magu aliwaonea huruma mie ningepiga shaba wote.
Sio kukosea....bro let me tell u. Humans only change behaviour when the punishment is severe and immediate.Hapo kwenye shaba ndio umekosea!
Pole Mkuu,hamkuandikiana mkataba mkuu?Mwaka juzi kuna broker mmoja alikuja kunikopa 10m aongezee anunue dhahabu. Na kwakuwa huwa hatuwekeani riba ni kampa, ili akiuza mzigo wake anirejeshee. Baada ya kama wiki broker kavuta 😞, baada ya msiba kuisha mke wake akanikomalia kuwa simdai mumewe.
Aiseee....hiyo balaaaMwaka juzi kuna broker mmoja alikuja kunikopa 10m aongezee anunue dhahabu. Na kwakuwa huwa hatuwekeani riba ni kampa, ili akiuza mzigo wake anirejeshee. Baada ya kama wiki broker kavuta 😞, baada ya msiba kuisha mke wake akanikomalia kuwa simdai mumewe.
Atakushtaki na utampa zingine!Ukimkopesha rafiki yako jiandae kumpoteza au kua maadui...
Pia mkopeshe mtu unaeweza kumpiga hii itasaidia kidogo 😊
Pengine mke wake alikua hajui au anajua lakini hajui zilitumika wapiMwaka juzi kuna broker mmoja alikuja kunikopa 10m aongezee anunue dhahabu. Na kwakuwa huwa hatuwekeani riba ni kampa, ili akiuza mzigo wake anirejeshee. Baada ya kama wiki broker kavuta 😞, baada ya msiba kuisha mke wake akanikomalia kuwa simdai mumewe.
SawaSio kukosea....bro let me tell u. Humans only change behaviour when the punishment is severe and immediate.
Kosa la kwanza ndio hilo unapaswa kushuka nalo kwa nguvu zote usilete mambo ya kwamba oh ni kosa lake la kwanza.
Leo hii mvuta sigara unamwambia oh kuvuta fegi utakufa...atakwamba ah mpaka nikafe sii miaka imeenda. But ingekuwa aambiwe na dokta ebwana yani ukivuta tuu sigara ukimaliza na wewe unakufa unadhami kuna mtu angevuta?
Kabisa wapo sahihi kabisa kabosa wacha wawale mbususu hao kenge wasiokuwa waaminifuKausha damu wasilaumiwe kabisa
Huwa nafurahia sana kwa hatua wanazochukuaga