Uaminifu: Tabia inayochukuliwa Poa sana na vijana wa kitanzania

Tubaki kwenye mfano hapohapo,vipi mvuta weed,Kuna madhara yoyote anapata?!!!
 
Mimi katika kupeana pesa na wabongo ni mwiko, ninaweza kumnunulia mtu bia na nyama choma ila linapokuja suala la kukopana pesa kwangu ni mwiko kabisa kwani sina imani kabisa na wabongo.
 
Duh mimi kuna jamaa angu nilimpa mzigo wa zaidi ya 6 million bahati mbaya akafa, mke wake alinipa hela pamoja na mzigo uliobaki. Yule mwanamke Mungu ambariki sana.
 
Eventually kulipa deni ni kazi sana ndiyo maana hata sirikali inashindwa kulipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…