Kutokana na hili sakata la Baltazar kuna mambo Mengi ya kujifunza hapa, nitaelezea kwa summary tu;
Most of the women ambao walicheat na Jamaa , wapo kwenye mahusiano na matajiri wa kubwa na pia powerful men.
Kwa waliodhan kwamba Hawa wanawake walicheat kwasababu ya pesa au umaarufu au chochote Hapana walienda pale kwasababu ya adventure tu.
Kuanzia binti wa prezda, wake 20 wa mawaziri na wengine wengi walitoka kwenye nyumba zenye utajiri na Kila kitu kilichojitosheleza.
Wanaume/wanawake wa naweza kuamua kucheat na mwanaume/mwanamke yeyote mwingine atakayeamua bila kujali elimu, nafasi yake katika Jamii, dini , cheo nafasi ya kifedha.
Hakuna akili ya ziada, principle au chochote kile kinachoweza kumzuia mwanamke/mwanaume kucheat labda kama binafsi hajataka au hajaamua tu.
Huwezi kumzuia asicheat, huwezi kumtisha asicheat, huwezi kuwahi mbele ya mipango yake ya kucheat na pia huwezi kupata mwanamke mwenye uwezekano mdogo kabisa wa kucheat hiyo ni probability.
Hii trendy pia imetufundisha kwamba wanawake wengi wanacheat na wanaume wao siyo rahisi kujua, kugundua au kuhisi.
Mwanamke wako anaweza akawa ofisin anayola na boss wake, mfanyakazi mwenzie, nurse anatoka na dokta, mfanyabiashara anatoka na mteja wake, mwalimu na mwalim mwenzie, n.k
Chakufanya kwa wakati huu ni kucheza/kukaa katika nafasi yako kikamilifua na kutumaini kwamba ana sense ya kujithamini (self worth ) kwasababu maamuzi ya kucheat yapo mikononi mwake.
Exactly this is why loyal women needs their flowers.
Class dismissed, no offense I beg to submit.