Uamuzi wa Makonda hauna tofauti na wa Samatta, watajuta sana

Sema kingine, lakini siyo long term plan za DAB na Baba kae. Hao wanajua hata alipo Ben Saanane!!
Tatizo watu hawatafakari kwa kina. Hivi unajua nini sister, makonda alikua mkuu wa mkoa, so wajumbe wote wa CCM kwenye lile jimbo yeye ndiye alikuwa bosi wao, pili makonda anapesa nyingi tu za kuwashawishi hao wajumbe the same thing to Gambo.
 
Ukiangalia kwa haraka haraka mkuu wa mkoa wenye wilaya nyingi tu na majimbo kibao ya wabunge, eti aende kugombea kajimbo kamoja ndani ya mkoa aliokuwa anaongoza......!!!
Unaweza kunwona kama hamnazo vile, kumbeee....!?!?
Kitedawiliiii!!!!!
 
🙌🙌🙌 kwaio tutegemee kuwa waziri kabisa?
 
Ukiangalia kwa haraka haraka mkuu wa mkoa wenye wilaya nyingi tu na majimbo kibao ya wabunge, eti aende kugombea kajimbo kamoja ndani ya mkoa aliokuwa anaongaza......!!!
Unaweza kunwona kama hamnazo vile, kumbe.....!?!?
Kitedawiliiii!!!!!
Duh!!! Asee hizi siasa za kiafrika ni tatizo sana
 
😃😃 hapo kwa samatta umechemka kwasababu ukitazama mmaslai yake ni makubwa tofauti na alivyokuwa Genk na isitoshe bado jamaa ana nafasi kuna vilabu kibao anaweza kwenda vya Europa league toka nchi kama za turkey, holland. Ila kwa PCM pale inaonekana kala wa chuya kwa kauli iliyotolewa leo na akina Humphrey
 
Mkuu nimezungumzia uhalisia wa hali,yan kama kuna chini ya kapeti sijui. Na kama wapinzani wangekuwa wanayajua basi hakuna haja ya kushiriki uchaguzi.

Usiwe mvivu wa kufikiri
 
hivi kauli za yule baba mnaziaminije ninyi watu?
 
Usiwaamini wote wawili
 
Samatta hajachemka kwenda Villa Park, ana maajabu gani kumzidi Grealish aliyepanda nayo. Championship Ni sehem sahihi kwake.
 
Ukuu wa mkoa una stress ya kutumbuliwa muda wowote ubunge wanakula raha sana miaka mitano yote kwa uhakika
 
Mkoa wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Makonda asingepata baraka za Magu asingeenda anaanzaje kuacha Mkoa ingali anajua atashindwa?
 

Acha kumfananasha samatta na mambo ya kijinga..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…