Maslows
Senior Member
- Jun 29, 2020
- 122
- 58
Makonda kajipanga kukosa au kupata, kaamua from withinHabari wana jamvi!??. Uamuzi wa Samatta kila mtu anaujua sihitaji kuuelezea kwa upana. Astoni Villa ipo kwenye hatari ya kushuka daraja, Samatta alicheza UEFA Champions League msimu uliopita lakini sasa anaenda kucheza Championship.
Makonda alikua mkuu wa mkoa wa Dar anaenda kuomba kugombea ubunge. Ubunge wa jimbo na mkuu wa mkoa nani mwenye nguvu kuliko mwingine? Anakumbuka alivyokuwa anatoa amri ya kuwaweka wabunge ndani? Sasa itakuwa zamu yake.
Kama Magufuli atasimamia kauli yake kwamba hajatuma mtu basi Makonda atajuta sana mana najua ndani ya CCM anavyochukuliwa.
Ni hayo tu.
Samata hakujipanga kushuka daraja alijua staiwzesha Aston Villa top four