Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,332
Ati ikawaje tena?Nadhani wewe ni mgumu kuelewa mkuu. Mimi nina uzoefu na uchaguzi wa kura za maoni za wabungu. Kura hizo hupigwa na wajumbe wa CCM wa jimbo husika. Bila ubishi wajumbe wote wa kigamboni watampigia kura Makonda.