Uamuzi wa Makonda hauna tofauti na wa Samatta, watajuta sana

Makonda kajipanga kukosa au kupata, kaamua from within
Samata hakujipanga kushuka daraja alijua staiwzesha Aston Villa top four
 
Sasa kwa akili za kawaida unategemea atasema kuwa Kamtuma mtu,hata mimi ningekana lakini ukweli unajulikana.
 
Tatizo watu hawatafakari kwa kina. Hivi unajua nini sister, makonda alikua mkuu wa mkoa, so wajumbe wote wa CCM kwenye lile jimbo yeye ndiye alikuwa bosi wao, pili makonda anapesa nyingi tu za kuwashawishi hao wajumbe the same thing to Gambo.
Mfano wako haujatulia
 
Kama ungejua ubavu wa mkuu ni upi wala aingeandika haya.
 
Mfano wako haujatulia
Nadhani wewe ni mgumu kuelewa mkuu. Mimi nina uzoefu na uchaguzi wa kura za maoni za wabungu. Kura hizo hupigwa na wajumbe wa CCM wa jimbo husika. Bila ubishi wajumbe wote wa kigamboni watampigia kura Makonda.
 
Kalagabaho!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu pekee ndo hajatumwa yupo tayari kuuacha u-RC
 
Nadhani wewe ni mgumu kuelewa mkuu. Mimi nina uzoefu na uchaguzi wa kura za maoni za wabungu. Kura hizo hupigwa na wajumbe wa CCM wa jimbo husika. Bila ubishi wajumbe wote wa kigamboni watampigia kura Makonda.
Kumchanganya samagoal na kuona hajafanya lolote AS Villa/huko kwingine sikuingilii
 
Aisee, sasa ndo naamini wivu ni tatizo kubwa sana kwa mwanadamu,alipokuwa mkuu wa mkoa mlisema hana sifa sababu vyeti na jina sio vyake anabebwa tu, sasa kaamua kwenda kwenye ubunge ambapo sifa za kujua kusoma na kuandika anazo bado mnaleta maneno sasa mnataka nini au tuwaeleweje?
 
Usimshangae, bali elewa tu watanzania wengi ni wagumu sana kuwasoma na kuwaelewa wanasiasa wa nchi hii:

Bora kuishi na slow learners wa darasani,kuliko kuishi na slow learners wa mambo ya siasa na wanasiasa
 
Tatizo watu hawatafakari kwa kina. Hivi unajua nini sister, makonda alikua mkuu wa mkoa, so wajumbe wote wa CCM kwenye lile jimbo yeye ndiye alikuwa bosi wao, pili makonda anapesa nyingi tu za kuwashawishi hao wajumbe the same thing to Gambo.
Takukuru wamesikia
 
Acha kumfanamisha Samata na huo utoporo
Hawajui kuwa kwa Makonda kufananishwa na Samatta kwake no jambo la kuweka kwenye kumbukumhu?
Jamaa anavyopenda sifa za majina makubwa hata ukimfananisha na Steve Nyerere au Mpoki anajisikia ufahari! Sijui ni kutikana na atokako au!
 
Baada ya tuhuma hizo alijiuzulu? Au alifukuzwa kazi? Alikua na haki ya kuchukua form kama asingekua na kazi yake ya mwanzo
 
Bashite akipitishwa kugombea ubunge na akiteuliwa kuwa waziri hapo nitaamini UNAFIKI upo mpaka kwa watu wazima.!
 
Bashite akipitishwa kugombea ubunge na akiteuliwa kuwa waziri hapo nitaamini UNAFIKI upo mpaka kwa watu wazima.!
Sio kwa watu wazima tu,hadi kwa raisi na serikali
 
Baada ya tuhuma hizo alijiuzulu? Au alifukuzwa kazi? Alikua na haki ya kuchukua form kama asingekua na kazi yake ya mwanzo
kwani ni yeye tu mwenye kazi aliechua fomu na kwanini mtu ajiuhudhuru kwa sasa ya tuhuma tu ambazo hazijathibitishwa popote na hazina ushahidi?
 
KUMBE WEWE MWENZETU ULIWAHI KUMWAMINI HUYO MZEE! HIVI KWA AKILI YAKO UNAAMINI KWAMBA BASHITE ATAKIUKA HIVI HIVI AGIZO LA MZEE WAKE KIPENZI WA MOYO?
 
'Courageous' Aston Villa out of relegation zone with one game left
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…