Uamuzi wa mapingamizi ya Jamhuri Kesi ya Lissu, Mahakama kuyatolea uamuzi Julai 11, 2025

LAZIMA ale kitanzi!
Aiseee!!!!Fedha haramu za CCM zinakuondolea utu kweli?Fedha za CCM haramu za CCM zinakuondolea Mungu ndani mwako?Lissu amewakosea ni nini?Lissu amewanyima kipi?IPO siku utaambulia laana za magonjwa sugu Kwa familia na ukoo wako, Fedha haramu zote unazopata zitaishia Ocean road hospital
 
Kinachoendelea ni kumdidimiza mnyonge Hapo pote wanatafta namna ya ku delay Justice ya lisu.ila sio mbaya kwasababu watanzania wanazid kuelewa namna mhimili wa mahakama ulivyo na unavyotumika na serikali
 
Keshachokwa huyo, hata sijui kama leo alikuwa na kesi.
 
Keshachokwa huyo, hata sijui kama leo alikuwa na kesi.

..kama TL ameshachokwa basi serikali imfutie hayo makesi ya uongo.

..ukweli ni kwamba Ssh hana uwezo na karama ya kushindana na TL katika majukwaa ya siasa.
 
..kama TL ameshachokwa basi serikali imfutie hayo makesi ya uongo.

..ukweli ni kwamba Ssh hana uwezo na karama ya kushindana na TL katika majukwaa ya siasa.
Kushindana na chizi akiiba nguo zako mtoni, ukimkimbiza watu watashindwa kujua uhalisia, wacha sheria zimnyooshe.
 
Kapoa sana na bado hajafikisha mwaka mmoja mahabusu hatujategemea atatembelea ringi mapema, alafu ndo anataka kinuke kikinuka ataweza kweli ku survive au ndo atakimbilia Belgium kama kawaida yake.
Unashangilia, na hapo ukute Wazazi wako ni choka mbaya sana kule Bushi, mnajitoa sana ufahama na hizi fake Id zenu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…