Wewe usieshangilia wazazi wako siyo choka mbaya? Kuna siku walimpelekea debe la unga?Unashangilia, na hapo ukute Wazazi wako ni choka mbaya sana kule Bushi, mnajitoa sana ufahama na hizi fake Id zenu,
Mmemsahau wewe na nani?Lissu tumemsahau kabisa.Kama hayupo TZ.
Kama mwanangu au mjukuu wangu atakuwa na akili kama za Lissu ni sawa tu ashughulikiwe.Leo Lissu kesho Mtoto wako au mjukuu wako.
Mwenzako akinyolewa zako tia maji.
Ahahahahaha! Maneno ya mkosaji hayo!Akila kitanzi na mama yako..baba...na ndugu zako wote watakula kitanzi...na ww utakuwa wa mwisho
Mtu akivunja Sheria, LAZIMA Sheria ichukue mkondo wake. Hata kama ningelikuwa mimiAiseee!!!!Fedha haramu za CCM zinakuondolea utu kweli?Fedha za CCM haramu za CCM zinakuondolea Mungu ndani mwako?Lissu amewakosea ni nini?Lissu amewanyima kipi?IPO siku utaambulia laana za magonjwa sugu Kwa familia na ukoo wako, Fedha haramu zote unazopata zitaishia Ocean road hospital
Siku akikila ndio utajua! Nyambafu!!Cha kuzuia mimba ya mama yako.
Umemjibu vizuri sana fala huyo!Wewe usieshangilia wazazi wako siyo choka mbaya? Kuna siku walimpelekea debe la unga?
Kushindana na chizi akiiba nguo zako mtoni, ukimkimbiza watu watashindwa kujua uhalisia, wacha sheria zimnyooshe.
Wafuasi wa Lissu akili zenu sawa na za ng'ombe tu...angekuwa chizi wangemuacha kwani mwisho wake wananchi wangempuuza.
..hii habari ya kumtengenezea kesi ya uongo inadhirisha kwamba wameshindwa kushindana naye kwa hoja.
..Samia hana uwezo na karama ya kuongoza.
..Hata leo hii akiweka hoja zake kuhusu namna uchaguzi unavyotakiwa kuendeshwa, na Lissu akaweka za kwake, umma unajua nani ana hoja za ukweli.
Wafuasi wa Lissu akili zenu sawa na za ng'ombe tu.
Reforms gani tena??? Mbona mambo mengi ya uchaguzi yamerekebishwa tu, nyie mna nongwa, au mmetumwa na wapenzi wenu wa Mambo ya ushoga!!..Reforms wanazopendekeza Cdm zina ubaya gani kiasi cha kuleta ugumu kuzitekeleza?
Lissu sio mhaini. Ni mbinu tu za serekali na ccm kuidhibiti CHADEMA.
NoReformNoElection
Unamsauje mtu unayekumbuka na kuandika jina lake?Lissu tumemsahau kabisa.Kama hayupo TZ.
Hivi wajumbe wa tume ya uchaguzi na watendaji wake wameteuliwa lini na nani?Reforms gani tena??? Mbona mambo mengi ya uchaguzi yamerekebishwa tu, nyie mna nongwa, au mmetumwa na wapenzi wenu wa Mambo ya ushoga!!
Reforms gani tena??? Mbona mambo mengi ya uchaguzi yamerekebishwa tu, nyie mna nongwa, au mmetumwa na wapenzi wenu wa Mambo ya ushoga!!
Nyie mnataka wateuliwe na nani!!?Hivi wajumbe wa tume ya uchaguzi na watendaji wake wameteuliwa lini na nani?
Hivi wajumbe wa tume ya uchaguzi na watendaji wake wameteuliwa lini na nani?
si alijiita mwenyewe mhainiLissu sio mhaini. Ni mbinu tu za serekali na ccm kuidhibiti CHADEMA.
NoReformNoElection
Haya umeyajua lini? Lissu hajawahi kuwa mhaini toka azaliwe.Lissu sio mhaini. Ni mbinu tu za serekali na ccm kuidhibiti CHADEMA.
NoReformNoElection
Wote watendewe haki, na wale wanaojiita rais wapelekwe ikulu.si alijiita mwenyewe mhaini