kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Mkuu IFAC na Fanfa nadhani turudi kwenye hoja kuu.
Hoja ya Fanfa ilikuwa kuhusu Malengo ya Russia kutimia.
Kwanza lazima tujue malengo ya Russia wakati anaanza vita alitngaza ni yapi tena hakutangaza mara moja ilikuwa mara kwa mara ni Ku denazify, kulinga sehemu ya watu wanaoongea kirusi ambao alidai wanaonewa na mwisho ku counter expansion ya NATO.
Hayo ya uchumi kuyumba ni matokeo ya vita ambayo hata Russia sidhani aliya Anticipate wakati anaanza the so called operation.
Ukiangalia hasara alizopata population kadhaa ya Warusi wamekimbia nchi yao, hii denazification bado haijafikiwa kwani mpaka sasa Ukraine ni Anti russia na upinzani umeongezeka zaidi.
Security na Expansion ya NATO hili hata mtoto mdogo anaweza kulijibu kwani sasa Vita iko ndani ya Russia sio tena Ukraine na NATO sasa ina eneo kubwa kulinganisha na mwanzo.
Njoo na hoja tubadilishane mawazo hapa.