Uamuzi wa Russia kuivamia Ukraine ni mbinu iliyoshindwa (Strategic Failure)?

Mkuu IFAC na Fanfa nadhani turudi kwenye hoja kuu.

Hoja ya Fanfa ilikuwa kuhusu Malengo ya Russia kutimia.

Kwanza lazima tujue malengo ya Russia wakati anaanza vita alitngaza ni yapi tena hakutangaza mara moja ilikuwa mara kwa mara ni Ku denazify, kulinga sehemu ya watu wanaoongea kirusi ambao alidai wanaonewa na mwisho ku counter expansion ya NATO.

Hayo ya uchumi kuyumba ni matokeo ya vita ambayo hata Russia sidhani aliya Anticipate wakati anaanza the so called operation.

Ukiangalia hasara alizopata population kadhaa ya Warusi wamekimbia nchi yao, hii denazification bado haijafikiwa kwani mpaka sasa Ukraine ni Anti russia na upinzani umeongezeka zaidi.

Security na Expansion ya NATO hili hata mtoto mdogo anaweza kulijibu kwani sasa Vita iko ndani ya Russia sio tena Ukraine na NATO sasa ina eneo kubwa kulinganisha na mwanzo.

Njoo na hoja tubadilishane mawazo hapa.
 
Hoja yangu umeielewa haswaaaa.
Hata pro Russia wameielewa lakini wanajitoa ufahamu.

Umewafafanulia vizuri ngoja tusubiri majibu yao.
 
Hilo Putin ameshalisema kuwa hana shida na Fins au Sweeden kuwa NATO kwasababu hawana ugomvi wa kimipaka!
Hilo ndio jibu la Rais wa Russia!Sasa unataka hapa mimi mtanzania niwe na majibu gani zaidi?
 
[emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 2646670
Nina maswali machache tu;
1. Tangu ianzishwe hiyo BRICS ina miaka mingapi?

2. Je imeleta impact yoyote kwa nchi wanachama security and economically?

3. Je, imeleta negative impact yoyote kwa EU & USA kwenye mambo ya kiusalama na kiuchumi

4. Je, currency ya BRICS inafanya kazi? Thamani yake against USD, € na £ ikoje?
 
Hilo Putin ameshalisema kuwa hana shida na Fins au Sweeden kuwa NATO kwasababu hawana ugomvi wa kimipaka!
Hilo ndio jibu la Rais wa Russia!Sasa unataka hapa mimi mtanzania niwe na majibu gani zaidi?

1. Kila mara waziri wa mambo ya nje wa Russia anasema kuwa Russia imeivamia Ukraine kwa sababu ya kukiukwa kwa mkataba wa Minsk. Moja ya mambo yanayosemwa ni NATO kutokujitanua na Nchi zilizokuwa USSR kutojiunga NATO. Pia mkataba ule unaikataza Ukraine na nchi zingine kutojiunga EU.

2. Kama hoja ya Russia ni kwa NATO kutojitanua na kwamba nchi ambazo ziko Neutral zisijiunge na NATO na Sweden na Finland wamekiuka hayo, mbaya zaidi Finland ndo ana eneo kubwa la kimipaka kuliko nchi yoyote inayopakana na Russia. Unawezaje kusema kuwa Russia hana shida na Finland?

3. Wewe hukusikia vitisho alivyotoa Putin kwa sweden na Finland walipoanza kuomba uanachama NATO?
 
Hilo Putin ameshalisema kuwa hana shida na Fins au Sweeden kuwa NATO kwasababu hawana ugomvi wa kimipaka!
Hilo ndio jibu la Rais wa Russia!Sasa unataka hapa mimi mtanzania niwe na majibu gani zaidi?
Kwa hiyo Russia aliivamia Ukraine kwa sababu wana ugomvi wa mipaka?? Real?????
 
Weka hapa hivyo vitisho!Putin amesema Russia haina ugomvi wa kimipaka na Fins na sweeden,kwahiyo hana shida na wao kujiunga NATO!Tofauti na Ukraine!
Hayo ndio majibu ya Putin,sasa wewe unamajibu zaidi ya Rais wa Russia?
Jibu kwa fins kujiunga nato,tayari Putin ameweka kambi za kijeshi mpakani na Fins na anaweka base ya nuclear!Hilo ndio jibu la Fins kujiunga NATO!
 
Nimesema hivyo?Mbona unanicopy nje ya context?
Umesema kwamba Russia na Finland hawana ugomvi wa mipaka ndiyo maana hana shida naye.

Sasa nimekuuliza, kwa hiyo Russia kaivamia Ukraine sababu wana ugomvi wa kimipaka? kama unavyodai kwenye hoja yako.
 
1. Fuatilia maelezo ya video hizi kwenye habari hii. Usiishie tu pale Putin aliposema hana shida na Sweden na Finland kujiunga na NATO. Endelea mbele usikie warning aliyoitoa dhidi ya nchi hizo zikijiunga NATO Putin issues fresh warning to Finland and Sweden on installing Nato infrastructure

2. Swala la Russia kuweka kambi ya jeshi kuweka mpakani Finland ni haki yake. Lithuania pale kuna Bases za NATO zaidi ya miaka 19 sasa, mbona hakuna alichofanya mpaka leo pamoja na vitisho alivyotoa enzi zile dhidi ta Lithuania. Wala hakuna aliyemkataza asiweke kambi mpakani mwa Lithuania. Hoja hapa ni kwamba ulishawahi kusikia karusha hata bomu la mkono Lithuania alipo NATO?
 
Kichwabox, Russia ni watu wa kazi, ukitaka takwimu nenda kwa watu wa kukariri a. k. a marekani
 
Fanta anajua malengo ya Russia.?? 🤣🤣Vichekesho vingine hivi, huyo hata malengo ya yeye kuwa hapa duniani hayajui ndio aje ajue mlengo ya Russia?
 
Umesema kwamba Russia na Finland hawana ugomvi wa mipaka ndiyo maana hana shida naye.

Sasa nimekuuliza, kwa hiyo Russia kaivamia Ukraine sababu wana ugomvi wa kimipaka? kama unavyodai kwenye hoja yako.
Mgumu sana kuelewa maana akili yako umeifix hivyo!Nimesema Putin alisema Fins kujiunga NATO sio tatizo maana hawana ugomvu wa kimipaka!
Ukraine kujiunga NATO ni tatizo kwa urusi maana wana conflict ya kimipaka!
Kwa maana hiyo Russia anaona kwa hatua hiyo itamaanisha vita dhidi ya mataifa zaidi ya 30!
Kama hujaelewa basi!
 
We jamaa vipi?Kwanini hao NATO wasirushe bomu hata la mkono Russia?
Halafu mbona majibu yako wazi,Taarifa yako hakuna mahali Putin anasema kwamba ataishambulia Fins au sweeden kijeshi iwapo zitajiunga NATO!Alichosema,iwapo miundombinu ya kijeshi itapelekwa huko basi watafanya hivyo hivyo mpakani na kuweka nuclear base jirani na Fins!
Soma vizuri uelewe source uliyoleta:

“We don’t have problems with Sweden and Finland like we do with Ukraine,” the Russian president told a news conference in the Turkmenistan capital of Ashgabat. “We don’t have territorial differences.”

“If Finland and Sweden wish to, they can join. That’s up to them. They can join whatever they want.”

However, he warned “if military contingents and military infrastructure were deployed there, we would be obliged to respond symmetrically and raise the same threats for those territories where threats have arisen for us”.

Russia has repeatedly warned Finland and Sweden against joining Nato, saying the “serious military and political consequences” of such a move would oblige it to “restore military balance” by strengthening its defences in the Baltic Sea region, including by deploying nuclear weapons.

Russian officials earlier reacted angrily to Nato’s offer of membership to Finland and Sweden, calling it a “destabilising” effort that will increase tensions in the region.

“We condemn the irresponsible course of the North Atlantic Alliance that is ruining the European architecture, or what’s left of it,” Russian deputy foreign minister Sergei Ryabkov told reporters on Wednesday.

“I have a great deal of doubt as to whether the upcoming period will be calm for our north European neighbours,” he added
 
Mizinga gani ya masafa marefu ambayo hana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…