Uamuzi wa Russia kuivamia Ukraine ni mbinu iliyoshindwa (Strategic Failure)?

Malengo yao ni yapi hasa ya kufanya military base kila sehemu,ni nini target yake? Harafu unawashabikia watu wanao taka dunia iwe chini yao,
 
Tutajie mabenki yaliyofirisika Ulaya na America sababu ya vita ni yapi?
First Republic BankMay 1, 2023$212 billion*

Silicon Valley BankMarch 10, 2023$209 billion

Signature BankMarch 12, 2023$110 billion

Credit Suisse bank hii inatoka Switzerland

Una lingine huwa sipendi mtu asiye na chochote kubisha jambo asilo lijua
 
Hili la Ukraine kunyimwa silaha nzito na za masafa marefu hawaliongelei Pro Russia. Wamebaki na wimbo wa NATO NATO.
Ukraine angepewa silaha anazotumia NATO (NATO arsenals) mpaka sasa kusingekuwa na Vita.
Siraha ipi exceptional ambayo hajapewa
Ni aibu tukisema western weapons ni inferior kwa Russia.

Hizo alizopewa ndio siraha zao bora zaidi na bado wamechapwa
 
Kwani hizo nchi tajwa zilishawahi kurusha jiwe ndani ya Urusi?
 
Kwa hiyo hizi ndo takwimu. Tumesema lete takwimu siyo porojo. Mnarukaruka tu kama kende kwenye suluali. Porojo kibao lakini vichwani mko watupu
Kanataka takwimu zako ziko wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nato wameshindwa kwa kutuonesha huo mchoro wako tu? Finland malengo yake yametimia tayari yuko Nato huyo Sweden mwenyewe ni Turkey tu ndio analeta kauzibe.
Haikuwa lengo la NATO kuitaka Finland
Ila lengo lilikuwa big brothers nchi kama Ukraine, Belarus na Kazakhstan.

Revolution zao za kijanja janja walifanikiwa. Ukraine kwa kina la Maidan, lakini wakafeli vibaya Belarus na Kazakhstan.
 
Sasa kama unakubaliana naye?
Unapinga nini Sasa?
 
On Oct. 4, Forbes Russia reported that the number of people who have left the country since Putin ordered the draft could be as high as 700,000, citing a Kremlin source.6 Oct 2022

Warusi wapo Milioni 140 na idadi waliokimbia hawazidi Milioni 1.

Hapo hapo Urusi imechukua ria zaidi ya Milioni kwenye majimbo ya Zaphorizia, Kherison, Lugansk na Donetsk na possible baadae kubeba raia wote waliopo Odessa na Dnipro.

Hivyo hoja ya raia waoga waliokimbia Haina impact hata kidogo kwenye demographics ya nchi.

Hao raia wengi watarudi baada ya hii special operation kuisha.

Ngoja tuangazie raia waliokimbia Ukraine

Over 8.2 million refugees fleeing Ukraine have been recorded across Europe, while an estimated 8 million others had been displaced within the country by late May 2022. Approximately one-quarter of the country's total population had left their homes in Ukraine by 20 March.

Hawa ni raia waliokimbia Ukraine mpaka mwezi wa 3 mwaka huu ambao ni recorded hivyo kwenye Taifa la watu Milioni 40 unaweza kuona athari zake.

Je, hakuna Waukrein waliokimbilia Urusi?

The United Nations estimates more than 2.8 million Ukrainians have taken refuge in Russia over the past year. Some – largely those who could afford it – have transited through Russia to other countries in Europe, and many have even made it back to Ukraine.

Urusi imepata ongezeko la watu zaidi ya 2.8 Milioni

Kumbuka waliokimbia Urusi hawazidi Milioni hivyo nchi ipi imegain?
 
Ungetaja ambayo unaijua anayo uweke na ushahidi tuanzie hapo.
Hili ndio tatizo la hii nyuzi ya kidanzwi
Mimi nimesema siraha zao bora wamekwisha peleka, Sasa wewe unayehona hajapeleka ndio zitaje?

Burden of proof haipo kwangu
 
Braza hakuna unacho kijua ww ni pro russia ila hujui chochote
 
Hili ndio tatizo la hii nyuzi ya kidanzwi
Mimi nimesema siraha zao bora wamekwisha peleka, Sasa wewe unayehona hajapeleka ndio zitaje?

Burden of proof haipo kwangu
Duuh mwanaume mzima unashupaza shingo kwamba silaha zote bora za NATO zishapelekwa Ukraine!!!
 
Kumbuka Ujerumani na whole European ni economic disaster.

Marekani gharama ya maisha imepanda

Global order imposed by the west ipo mashakani

Dollar dominance imeanza kucrumble

Halafu unasema strategic failure
Are you insane?
Na mnakimbilia huko huko kila siku , aya bana sisi huku bongo na Urusi gharama ya maisha haijapanda , ngoja tutulie tuwaache marikani
 
Sawa, jikite kwenye hoja badala ya porojo.

1. tueleze kivipi NATO imeshagalagazwa?

2. Tueleze ni malengo yapi ya Finland yaliyotibuliwa

3. Tueleze ni vipi USD imeangushwa na kwa kiwango gani?
Yeye anajihisi ana akili kuliko Finland na Sweden , kwamba hao hawaoni wamekurupuka kuomba kujiunga na NATO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…