Uandaaji wa filamu ya Royal Tour tumepigwa lakini uzinduzi wake tunapigwa zaidi!

Hivi kuna unabii hapa au ukweli unaojidhihirisha!
Mkuu umaskini wetu unaanzia vichwani mwetu. Ukiweza kuondokana na dhana hizi potofu ambazo ni hasi siku zote, ni mwanzo wa kupiga hatua za kimaendeleo.
 
Mkuu umaskini wetu unaanzia vichwani mwetu. Ukiweza kuondokana na dhana hizi potofu ambazo ni hasi siku zote, ni mwanzo wa kupiga hatua za kimaendeleo.
Tunahitaji kufanya mambo yetu kisayansi na siyo kufanya usanii kufurahisha watu!
 
"ukitaka kula lazima uliwe kidogo...hahahahah" hata kama zimetumika fedha nyingi return ni kubwa zaidi. That is investment. Uwekezaji siyo mpaka utoke kwa wazungu, hata sisi tunaweza tukafanya uwekezaji kama huo. Ukiwa na sherehe ili upate mchango lazima uingie mfukoni kwako uweke mazingira ya kupata michango. Ukiwa bahili hupati hata kumi.
 
Mama ameacha kuwa Rais, ameanza kuwa mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji
 
Return ni kubwa? Ni kweli return ni kubwa?
 
Bado mtaendelea kupigwa zaidi maana mhusika hana uhakika wa kuwepo hapo alipo ni bora atengeneze pesa zinazopita kushoto kuelekea ncha ya mkeka wa kusini.

Waandishi wa kiuchunguzi fuatilieni kinachoendelea kwenye mkeka ulio juu ya boya kwenye ncha ya kusini kisha muwaletee watanzania ukweli kwa mlinganisho wa thamani na umuhimu uliojengewa hoja za kimantiki
 
Waimba mapambio watakuja kusema wewe sio mzalendo.
 

Acha uchawi…. Mtakuja mfe siku si zenu kisa wivu
 

Wewe mwenye IQ kubwa ya ukilaza na roho ya kichawi na ushamba juu acha porojo mama afanye kazi yake.Halafu watanzania mkoje mtu afanye nini ili mridhike? Haya sasa unajua utalii unachangia asilimia ngapi kwenye pato la nchi ambalo litasaidia kutengeneza hizo miundombinu? Acheni kuropoka ugoro halafu ni watu wazima
 
Pole sana, mpaka mwaka kuisha marehemu atakuwa na matarajio kapata wajukuu wa kutosha si kwa kufunguka huko aseee.

Tunajiandaa kununua zawadi as diapers.
Hizo diapers vaa mwenyewe kwa kuwa kifo kimekuacha mjane, mbele unatoa na nyuma unaachia
 
Ah! Kumbe ni wewe, ningeshangaa kama angekuwa mtu mwenye akili timamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…