Uandikishaji majengo nyumba kwa nyumba kuanza karibuni

Uandikishaji majengo nyumba kwa nyumba kuanza karibuni

Nina saka sayari ya kwenda kuishi yani na corona yote bado tuna kamuliwa dah
Ishii Kama Mimi tu, sina gari wala Nyumba, maana hivyo vitu vimesha kua anasa,vitawagharimu sana,bora muachane navyo!!
 
Huku kwetu wamepita chaajabu eti hata kama kwenye plot kuna nyumba na kakibanda nacho wanakihesabu kama nyumba kwahiyo kwenye kiwanja kimoja badala ya kulipa 10000/- unatakiwa ulipie 20000/-
 
Mwanzo walikua wanaangalia hadhi ya nyumba lkn naona hili la sasahiv hadi vijijini ambako izi mambo walikuwa wanazisikia tu yasasahivi imewafikia
 
Tunaoishi kwenye nyumba za kupanga tutarajie ongezeko la kodi pia na hapo ndo kila mmoja anaenda kuishi kishetani kabisa na si tu kama mashetani.
 
Back
Top Bottom