Uandikishaji majengo nyumba kwa nyumba kuanza karibuni

Uandikishaji majengo nyumba kwa nyumba kuanza karibuni

Naona side effect ya hili zoezi litapunguza ujenzi holela wa vibanda ambavyo vimekuwa vinaharibu mandhari ya maeneo mengi unless siasa itawale 'msiwabokoleshe wapiga kura wangu!'
 
Miradi mikubwa imedoda sasa .....kodi mpya xitaibuliwa
 
kodi ya kichwa,redio baiskeli ni za kikoloni.....
Kodi ya kichwa hata kipindi cha Nyerere ilikuwepo. Anyway, hoja ya msingi hapa ni kwamba, kipi kilipiwe kodi iwe kinakuingizia kipato au la, ni suala la watawala kuamua.

Watatunga sheria na mchezo unakuwa umeisha. Ukizingatia michakato ya utungaji sheria nchi hii ni wa kibabe zaidi, lolote linaweza kuamuliwa na hakuna jinsi.
 
... kama unadhani utapata upepo kwa nyumba ya makuti nenda kajenge yako uishi!
👊😅✌️💥 ..................................................................................................WATU!
 
Ukishakuwa na jengo ndani ya JMT unatakiwa ulipie kodi ya hilo jengo.
siku lilibomolewa na hao wanaokusanya kodi ya jengo kwa kujenga eneo lisilotakiwa inakuwaje..?
 
Alafu hii kodi ya jengo inatakiwa iwe na maximum penalty au iwe kubwa kwa mtu aliyejenga Eneo lisilo rasmi Ili ku descourage ujenzi holela na wataalamu tupate pesa za ramani
 
siku lilibomolewa na hao wanaokusanya kodi ya jengo kwa kujenga eneo lisilotakiwa inakuwaje..?
Kuna utaratibu, unatakiwa ulipwe fidia. Ila kama umejenga eneo ambalo haliruhusiwi then usilipe maana hilo si eneo lako Huna haki nalo.
 
Mbona hiyo kitambo sana... Aseh au ninyi mliochangia mlikuwa nje ya nchi?
 
Kuna utaratibu, unatakiwa ulipwe fidia. Ila kama umejenga eneo ambalo haliruhusiwi then usilipe maana hilo si eneo lako Huna haki nalo.
Maeneo mengi nchini watu wamejenga bila utaratibu, maendeleo yanayoletwa na serikali huwa yanawakuta wananchi, so nani anakosea hapo?
 
Maeneo mengi nchini watu wamejenga bila utaratibu, maendeleo yanayoletwa na serikali huwa yanawakuta wananchi, so nani anakosea hapo?
Ukitaka kujenga nenda manispaa, nenda ofisi za serikali za mitaa. Baadae likitokea la kutokea upo salama na fidia. Huwezi jua nchi itapata kiongozi wa kuchukua maamuzi ya aina gani. Si wakati wote busara au huruma hutumika.
 
Back
Top Bottom