Uandikishaji majengo nyumba kwa nyumba kuanza karibuni

Uandikishaji majengo nyumba kwa nyumba kuanza karibuni

ILI Serikali iweze kusanya kodi KWA usahihi NINGEOMBA NYUMBA ZOTE ZIPEWE HATI KISHA KILA MMILIKI ALIPE ARDHI NA PANGO.TUNGEPATA FEDHA NYINGI SANA .
 
Je, hii itakuwa tofauti na kodi ya ardhi kwa wamiliki wa viwanja. Au itajumuishwa humo?

Chief hivyo ni vitu viwili tofauti
Ya kiwanja anakusanyi Lukuvi
Ya jengo anakusanya Jaffo

Hawamu hii hakuna raha
 
Una uhakika?maana me Naona wanafanya maandalizi ya zoezi la sensa
 
... juzi niliwasiliana na jamaa zangu vijijini huko; kila nyumba na kila banda pote pote lilipo ndani ya mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (TANZANIA BARA) linaingizwa kwenye rejesta kuu ili lilipe kodi. Kodi ni wajibu wa kila mtanzania aliyefikisha 18. Kila mtu atafikiwa.
 
Back
Top Bottom