Hajasoma ule ni muandiko WA mtu asiyeenda shule kabisaa au la Saba failure!!na hakika ht mwanangu wa la 5 haandiki vile,nimejua why Zama anatumia nguvu kubwa kuonesha mmewe ana pesa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shostiii....
Bwana anaandika Ulisi... kweli jamani?
Hapana....kuna mambo ya kuvumilia ilankuandika gani kule..
kwa kweli tumuerewe tu mahana shure sio hishuu sanaa...pesa ndio kira kitu
Sawa ana Hela ila hajui kuandika [emoji28][emoji28][emoji28][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]Ile yote ni kuonesha jamii Bwana Shabani ni mambo safi..
Anatafuta namna ya kumfanya Bwana ake jamii imuheshimu kwamba hela ipo...
Ni huzuni aisee
Hila, kene kuwatoreha watu basitora, ipo siku hatachokwa. Aiza ataperekwa porisi hau, watu watahamuha wamkande wenyewe. Sheliha mkononiKabisaa yaani ndo maana anamtolea Kila mtu hasira zake
alafu we mzee wa kura kimasiala hunasemaje..!! Mimi kumuherewa mutu mwenye muhandiko wa vire siwez
Ila nyie watu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]Kajuta mbonaaa!!!!!aseehh jf bwanaNahona umelisi ka uyo jamahaaa
π π π anampigania sponsor wake asiumbukee...!! ila shabaniii amekwamaa sanaa.. kijana anapendeza vile kuendesha ndinga kali alafu hata kuandika mtihani kazi aiseeππ
Mambo mengine yanafurahisha licha ya kuwa Kwa mlengwa inaweza kuwa huzuni.
Husubufu kama uu tuliuongopa, kuadika na kusoma ni muhimu
Unaweza kuta huyo Zamaradi mwenyewe hizo TV na kuongea ongea kumemsaidia labda na yeye ni seti tupu tu maana angekua na akili angepiga kimyaa - mtu mzima akivuliwa nguo uchutama kuficha aibu yake..Anyway, waarabu wa Pemba hujuana kwa Vilemba.Hawajiaminigi Hawa watu always wachache sana wamestaaribika wengi Wao wanakua na visirani na viburi
Zamaradi nadhani alitaka TU kuolewa Ili atoke Kwa Ruge na enzi zile baba juhjuh alikua anawaachanganya kama karanga vile
Sema nini mwamba, kuna maneno yako mengine unayaadika tunajikuta kama tuna mafua vile kwenye kusoma..!! kwa mfano, husubufu, kuadika yaani mafua matupu..!!ππ
Mambo mengine yanafurahisha licha ya kuwa Kwa mlengwa inaweza kuwa huzuni.
Husubufu kama uu tuliuongopa, kuadika na kusoma ni muhimu
Yaani anaandika anachokisemahivi mtu asiejuaa kuandika huwa akiandika akisoma Anaona yuko sawa kabisaa hajakosea au??? maana kiukweri hule ujumbe sikufika hata nusu kuwusoma
[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hebu mniache miyeee....daah yaani nyie watu Kuna group la kitaa nipo kuna members wote baas Kuna Wengine wakiandika kaaa.... utacheka Mpk baasi ndo ulivoandika Wewe Sasa[emoji23][emoji1][emoji1][emoji1]Hila, kene kuwatoreha watu basitora, ipo siku hatachokwa. Aiza ataperekwa porisi hau, watu watahamuha wamkande wenyewe. Sheliha mkononi
TISS ya nyokweMi nakataaa TISS kuandika hajui[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Zama shule afadhali imemjenga amesoma Kunduchi Islamic,akahamia St.Mary's akaenda Uganda then advance kamaliza Cambridge,anajua kuongea shida huyo mmewe sasaa!!Unaweza kuta huyo Zamaradi mwenyewe hizo TV na kuongea ongea kumemsaidia labda na yeye ni seti tupu tu maana angekua na akili angepiga kimyaa.Anyway, waarabu wa Pemba hujuana kwa Vilemba.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] TISSTISS ya nyokwe
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Zamaladi,asa wale watoto na Kingereza kile Cha social media humo ndani kukoje?!!!!ujue sielewiSiye tunamuita mwenzetu vizuri tuu ZAMARADI halafu shemeji anamwita ZAMALADI. haya ingekua ni wewe ungechukia tuu