Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Ila nilikuja kugundua Jay anapendwa na kila mtu.. hadi Mange akanyoosha mikono pamoja na ushetani wake. Profesa anapendwa na watu wa dini na vyama vyote.
 
Na mbunge babu tale🀣🀣
Mtunga sera 🀣🀣
 
Hulisi = Urithi..

Sijasoma sana saikolojia ila Zamaradi anatumia nguvu nyingi sana kuonesha kwamba ndoa yake ni bora haswa kumsifia mume wake,kimsingi inaweza ikawa kinyume chake..ana tatizo la kisaikolojia(afya ya akili)
 
Ile nyumba sio ya Ruge, ile nyumba ni ya PM, ilikua ishaanza kujengwa wao wakaimalizia na kuhamia, siku PM akiamua kuchukua mjengo wake sijui wataenda wapi
 
Tufanyeje sasa na wametuambia tuwaige wenye fweza..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…