Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Binafsi namsifu zamradi kwa kumfichia aibu mumewe,Ke wachache Sana Wana moyo wa zamaradi
 
Ukitaka bongo watu wakuchukie kuwa na pesa au kuwa na mwanamke mwenye pesa na anakupenda....nimesoma reply zote za juu nimegundua wa bongo tunateseka sana na maisha ya watu yani kuna wanaume wana uchungu wa mimba
Kabisa mkuu,
Yaani inawauma zamaradi kumsifia bwana wake, sijajua wanatamano wangeolewa wao au vipi[emoji28]
 
Sahii kabisa
 
Binafs nampongeza Sana zamaradi,
Ni ke wachache wanaweza kujivunia mahusiano yao, hasa Kama Mume kipato Cha kuunga unga. HAYO NDO MAPENZ YA KWELI
 
Kwamba lazima wote wafanye kazi kwenye organization kubwa ndio wawe na pesa?! Eti
 
😀😀😀😀😀😀 duuu nimecheka
 
Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…