Haliwezi hata kusaidia homework za watoto wakipata mkwamoKuna wanawake wana matatizo . sasa jitu bumunda kama hilo mtu analipeleka wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haliwezi hata kusaidia homework za watoto wakipata mkwamoKuna wanawake wana matatizo . sasa jitu bumunda kama hilo mtu analipeleka wapi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kabisa kwa mwandiko huu bora nikope bustisha nikupigie tumalizane
Ila tusiongee sana kwani bi dada ana elimu gani
Binafsi namsifu zamradi kwa kumfichia aibu mumewe,Ke wachache Sana Wana moyo wa zamaradiKweli kabisa,kuchukua mkopo si tatizo.Hata kina Mengi walikopa.Tatizo ni Zamaradi kakopa Bank ,the anakuja mtandaoni kudanganya watu kuwa TV pale ni nguvu za mme wake huyu Shabani. Anauza nyumba, ananunua range,anakuja kudanganya public kuwa Range kanunuliwa na Shaban.Yaani watu wengine ikute wanajiona hawafai kwa kuamini vitu ambavyo kiuhalisia ni uongo.
Kabisa mkuu,Ukitaka bongo watu wakuchukie kuwa na pesa au kuwa na mwanamke mwenye pesa na anakupenda....nimesoma reply zote za juu nimegundua wa bongo tunateseka sana na maisha ya watu yani kuna wanaume wana uchungu wa mimba
Sahii kabisaUandishi ni kipaji sizan km kuna haja ya kumshangaa
Suala la uandishi ni watu wachache wanaliweza nakili mm ni mmoja wapo uandishi unanitesa kuandika kitu na mtu akaelewa km vle ulivyowaza ni kaz sana
Lkn pia uandishi sio elimu watu wamesoma mpaka mwisho wa elimu lkn uandishi unawatesa
Binafs nampongeza Sana zamaradi,Mwanaumee asiejua kusoma na kuandika halafu Wana pesa wengi wako inferior asikuambie mtu Tena Kwa wake zao hua hawajaimini kabisaa at least awe form four leaver au six leaver la sivyo tunapata shida Sana sisi wanawake brother na aina hizo za wanaume
Ndo maana Zama anatumia nguvu kubwa kumuweka sawa mmewe ajione nae ana hyo hadhi Mimi namuelewa sana Zamaradi
Alikimbia kutoka kwa Ruge akili kubwa kaangukia kwa bichwa kubwa akili nusu kijikoZamaradi aliokota galasa kumkomoa Ruge.. Kwa uandishi huu badala ya kupoteza muda wa kutetea uongo arudi shule itamsaidia zaidi
Maaawe kwa uandishi ule atengeneze kwa compyutaNa magari ya kisasa wanatengeneza kutumia computer...hahaa...kama naona errors kibao..syntax 0
Maneno ya wakosaji tu ndo maana wanatumia nguvu kubwa kutaka kuhalalisha upuuzi waoWatu waliokuwa hawazingatii shule wanaumbuka sana. Utetezi wao ni kuwa ukiwa na hela inatosha.
Hakuna aso mpongeza ishu hapa mmewe hajui kuandika[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Binafs nampongeza Sana zamaradi,
Ni ke wachache wanaweza kujivunia mahusiano yao, hasa Kama Mume kipato Cha kuunga unga. HAYO NDO MAPENZ YA KWELI
Kwamba lazima wote wafanye kazi kwenye organization kubwa ndio wawe na pesa?! EtiHamnaa kitu hapoooo yani bora hata asingejibuu aiseee kiukweli MANGE amesema ukweli woteee... daah wanawake wapo desparate sana na ndoaa mpaka aibuuu jamaa nilijua anafanya kazi kwenye organization kubwa hivii daah kumbe hata kuandika vizuri ni mtihani kazi ipo. FAKE LIFE WATU MAARUFU NI TATIZO KUBWA
Isiwe amehamua tu kufanya comedy!!Kaandika ulisi na mbele akainakshi tena hulisi [emoji23]
Anazikarabati gereji?Si inasemekana ni Fundi Gereji, "au nimekosea ndugu zangu?"
YeahHakuna aso mpongeza ishu hapa mmewe hajui kuandika[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
😀😀😀😀😀😀 duuu nimechekaYani hata mood ya kumkiss inakatika uongo🤣🤣 ila sema kuna kaukweli aisee ni bora mkiwa washamba muwe washamba wote penzi linanoga mkiandika "nipo balabalani" na anaejibu asijue kama kuna makosa ya uandishi hapo mnaenda sawa , ila uikute huyu anachanganya na kiingereza yule anaandika "nimeamka sarama" hata mood ya kuwa nae inakata
Nasubiri kwa hamu maana sidhani kama kuna ukweli wowote kwa aliyoyasema shemeji Shabani juu ya matunzo ya wale watoto wa mwendazake RugeIle Familia ya kina Ruge siku wakiamua kumchamba kisomi sijui ataficha wapi sura yake...
Maisha sio pesa na hapa hatujadili pesa za mtu.Kuna jamaa hajui kusoma wala kuandika lakini anapesa mingi sana sasa sijui uandishi sahihi unasaidia nini kwenye dunia hii ya kila kitu pesa.
HahahahaYani hata mood ya kumkiss inakatika uongo🤣🤣 ila sema kuna kaukweli aisee ni bora mkiwa washamba muwe washamba wote penzi linanoga mkiandika "nipo balabalani" na anaejibu asijue kama kuna makosa ya uandishi hapo mnaenda sawa , ila uikute huyu anachanganya na kiingereza yule anaandika "nimeamka sarama" hata mood ya kuwa nae inakata
Utajua tu huyu ni Mbulula kama wengine.....Hawa wanawake wanaojiita Super woman hawapendi kuolewa na Mtu mwenye akili😆😆😆Watu waliokuwa hawazingatii shule wanaumbuka sana. Utetezi wao ni kuwa ukiwa na hela inatosha.