Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Kweli kabisa,kuchukua mkopo si tatizo.Hata kina Mengi walikopa.Tatizo ni Zamaradi kakopa Bank ,the anakuja mtandaoni kudanganya watu kuwa TV pale ni nguvu za mme wake huyu Shabani. Anauza nyumba, ananunua range,anakuja kudanganya public kuwa Range kanunuliwa na Shaban.Yaani watu wengine ikute wanajiona hawafai kwa kuamini vitu ambavyo kiuhalisia ni uongo.
Binafsi namsifu zamradi kwa kumfichia aibu mumewe,Ke wachache Sana Wana moyo wa zamaradi
 
Ukitaka bongo watu wakuchukie kuwa na pesa au kuwa na mwanamke mwenye pesa na anakupenda....nimesoma reply zote za juu nimegundua wa bongo tunateseka sana na maisha ya watu yani kuna wanaume wana uchungu wa mimba
Kabisa mkuu,
Yaani inawauma zamaradi kumsifia bwana wake, sijajua wanatamano wangeolewa wao au vipi[emoji28]
 
Uandishi ni kipaji sizan km kuna haja ya kumshangaa
Suala la uandishi ni watu wachache wanaliweza nakili mm ni mmoja wapo uandishi unanitesa kuandika kitu na mtu akaelewa km vle ulivyowaza ni kaz sana
Lkn pia uandishi sio elimu watu wamesoma mpaka mwisho wa elimu lkn uandishi unawatesa
Sahii kabisa
 
Mwanaumee asiejua kusoma na kuandika halafu Wana pesa wengi wako inferior asikuambie mtu Tena Kwa wake zao hua hawajaimini kabisaa at least awe form four leaver au six leaver la sivyo tunapata shida Sana sisi wanawake brother na aina hizo za wanaume
Ndo maana Zama anatumia nguvu kubwa kumuweka sawa mmewe ajione nae ana hyo hadhi Mimi namuelewa sana Zamaradi
Binafs nampongeza Sana zamaradi,
Ni ke wachache wanaweza kujivunia mahusiano yao, hasa Kama Mume kipato Cha kuunga unga. HAYO NDO MAPENZ YA KWELI
 
Hamnaa kitu hapoooo yani bora hata asingejibuu aiseee kiukweli MANGE amesema ukweli woteee... daah wanawake wapo desparate sana na ndoaa mpaka aibuuu jamaa nilijua anafanya kazi kwenye organization kubwa hivii daah kumbe hata kuandika vizuri ni mtihani kazi ipo. FAKE LIFE WATU MAARUFU NI TATIZO KUBWA
Kwamba lazima wote wafanye kazi kwenye organization kubwa ndio wawe na pesa?! Eti
 
Yani hata mood ya kumkiss inakatika uongo🤣🤣 ila sema kuna kaukweli aisee ni bora mkiwa washamba muwe washamba wote penzi linanoga mkiandika "nipo balabalani" na anaejibu asijue kama kuna makosa ya uandishi hapo mnaenda sawa , ila uikute huyu anachanganya na kiingereza yule anaandika "nimeamka sarama" hata mood ya kuwa nae inakata
😀😀😀😀😀😀 duuu nimecheka
 
Yani hata mood ya kumkiss inakatika uongo🤣🤣 ila sema kuna kaukweli aisee ni bora mkiwa washamba muwe washamba wote penzi linanoga mkiandika "nipo balabalani" na anaejibu asijue kama kuna makosa ya uandishi hapo mnaenda sawa , ila uikute huyu anachanganya na kiingereza yule anaandika "nimeamka sarama" hata mood ya kuwa nae inakata
Hahahaha
 
Back
Top Bottom