Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Uza tuu unawaza nin aisee,si unamwambia tuu Mange, "please hide my id"unakunja buku tatu yako,ni mpunga mrefu eti
 
Mbwembwe tu pale aliingia chaka
Ujue Kuna watu wanapenda sifa sana kias wakipata majanga watu wanashindwa kuwatetea hata kidogo..ifike mahala watu wakubali Hali zao
Kujifanya Wana pesa halafu wanadhulumu watu kitu ambacho sio kizuri kabisaa
Hlf zama kuna kipindi alianzisha shindano, watu wampelekee ideas mbalimbali na mshindi kupewa milioni moja. Watu wakaandika weee hd leo hamna mshindi alotangazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…