Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Ruge alikua na Phina mango toka siku kadondoka bongo,mocassin mchongoko na suti bwangaenzi hizo.
Hilo chochoro alilipata tu kupooza hewa baada ya phina kutambaa na mzungu.
Boss Ruge nae kajitahidi Kwa Wadada..Kwa Zama ndo alitulia japo shoo za nje kama Kawa na mpk kuzaa wale watoto wengine wanaolingana na watoto wake
 
Nimesoma Mange kashusha historia fupi ya Shaban na ina make sense aisee.Zama aliamini kabisa kaolewa na nephew wa PM.Sasa kila kitu hadharani kumbe ni mtoto wa Sangoma kutoka Ndanda na hana undugu wowote na PM.Haya maisha ukijifanya mjuaji watu wanafungua mafile yako vizuri tu.Sasa Shaban zile mbwembwe za mpwa wake PM zimemalizwa kabisa.
Nimesoma nimebaki gaahhh.....ngachoka mama!!!
Yaani Zama Yuko uchi aseehhh
Kaaibika Bora wangemlipa tu kaka wa watu au angekaa kimya baasi
 
Kwani Zamaradi anadaiwa na nan au ni kijana yupi anatakiwa amlipe?
Kaka uko Dunia ya wapi mpk kamtia mdai ndani
Anadaiwa na direkta wake almost 19m,dogo kaona hali ngumu kaenda kuweka Bondi kompyuta ya ofisi wakamtishiaaa tishia ndo akaenda Kwa Mange kumwaga upupu mara paaap dogo ndani Polisi kawe hapo,ndo chanzo Cha stori za Zama na mmewe hiko broooo
 
Nimesoma Mange kashusha historia fupi ya Shaban na ina make sense aisee.Zama aliamini kabisa kaolewa na nephew wa PM.Sasa kila kitu hadharani kumbe ni mtoto wa Sangoma kutoka Ndanda na hana undugu wowote na PM.Haya maisha ukijifanya mjuaji watu wanafungua mafile yako vizuri tu.Sasa Shaban zile mbwembwe za mpwa wake PM zimemalizwa kabisa.

Aiseh!
 
Mimi bado ntamlaumu jamaa kwa kujiharibia status yake iliopambwa sana na mkewe na maisha haya kwani kurudi darasani bei gani mtu ukajua kuandika vizuri.
Mwamba alipambwa sana kumbe kiazi dah noma. Mitandao injua kuaibisha sana.
Mwamba alitakiwa apige kimya raia wasingemshtukia,ona sasa kaharibu,wale waliosemaga ukimya ni jibu hawakukosea
 
Khaa,kumbe na Chuo kaliishia njiani? Ila kidada kina roho mbaya sana,sijui hajioni na alivyo sasa.Jinsi anavyojaribu kutuonyesha yupo vizuri sana na watoto wake kusoma FIS utadhani hapo shuleni wanaosoma ni watoto wake tu.Nilihudhuria mahafari na mwanae pia alikuwa anagraduate.

Wazazi tulimpendekeza yeye ndiyo atoe nasaha kwa niaba yetu kumbe waliompendekeza walijua kina penda sifa hizi.Tangu hili sakata litokee tunakuwa tunapigiana simu na kucheka hatari.Mama muwakilishi wetu katudharirisha sana[emoji3][emoji3]
@Nyamizi kama Nyamizi [emoji2] halafu unaweza kukuta wewe ni swahiba wake wa karibu sana
 
Katika kitu nilidharau sana ni huyo mzee wa ULISI kujipa ujiko wa kulipia watoto wa Ruge school fees.Jamaa mwenyewe ukimuona live alivyo mchafu mchafu hata huo uwezo wa kulipia tu hata shule hizi za kawaida za 3.5M hana ije iwe School fees ya FIS.
Umenena kweli hata huyo wa kwao ni Zama ndiyo atakuwa analipia ada na siyo mwanaume.
Wanamantaine status kumbe wanaumia kwa ndani,maisha ya kupretend sio mazuri kabisa
 
Back
Top Bottom