Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Nilijua tu, kwa akili zake hizo za kuweka mabango na kuandika magazeti Instagram, atakua na yeye ni seti tupu tu. Amshukuru sana sana marehemu Ruge kwa kumpandisha chati na kuzaa nae at least atakua na watoto upstairs wako vizuri, lakini hao wa shamba boy tunamuachia mola maana baba zero na mama zero. hatwariii sana.
Jamii forum imegeuka kuwa kijiwe cha umbea [emoji2] nimewanyoshea mikono [emoji119],dada atachambuliwa huyu[emoji23]....
 
Nimesoma Mange kashusha historia fupi ya Shaban na ina make sense aisee.Zama aliamini kabisa kaolewa na nephew wa PM.Sasa kila kitu hadharani kumbe ni mtoto wa Sangoma kutoka Ndanda na hana undugu wowote na PM.Haya maisha ukijifanya mjuaji watu wanafungua mafile yako vizuri tu.Sasa Shaban zile mbwembwe za mpwa wake PM zimemalizwa kabisa.
Unajua watu wanashindwa kuelewa kitu kimoja,kwenye hii dunia hata uzaliwe wapi siku walimwengu wakitaka kupata habari zako ni simple sana,sasa kwanini udanganye ukizangatia wewe ni maarufu?
 
Kaka uko Dunia ya wapi mpk kamtia mdai ndani
Anadaiwa na direkta wake almost 19m,dogo kaona hali ngumu kaenda kuweka Bondi kompyuta ya ofisi wakamtishiaaa tishia ndo akaenda Kwa Mange kumwaga upupu mara paaap dogo ndani Polisi kawe hapo,ndo chanzo Cha stori za Zama na mmewe hiko broooo
Okay,ujue mm nacomment tuu sababu ya Zamaradi namfahamu lkn kinachoendelea huko mjini na Instagram sikijui [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kwahiyo alifisadi ideas za watu,usikute nyingine ndio anazifanyia kazi
Pana mdada mmoja alistukia hiyo akajaribu kuwa alert watu, kwani walimsikiliza sasa.Zama kawa ahidi atakayetoa idea nzuri atazawadiwa pesa 1M na aliunda groups zaidi ya tano.Watu acha washuke na Idea zao.Alivyoona kazikusanya za kutosha akakimbilia Polisi akamtia ndani yule dada aliyekuwa anawastua watu kuwa wanadanganywa,kamlaza ndani week nzima.Baada ya hapo akayafunga magroup yote na hakutangaza mshindi na hata senti tano hakutoa.Mjini shule [emoji3]
 
Aiseee basi ana ujasiri wa hatari,unajua the way anajiwekaga mbele ya makamera na maneno ni tofauti na matendo yake
 
Back
Top Bottom