Nyie acheni tu, kuna muda mwanamke Una ndoto zako kubwa, halafu unajikuta uliingia kwenye ndoa na mwanaume Zamwamwa, ndoto yake kubwa ni ale wali wa Nazi na samaki...ajambiane, Yani karidhika.....ndo mwanamke unaanza kupambana kufikia malengo huku ukimantain his status Ili asikukwamishe.....Kina Zamaradi tumejaa tele mtaani.
Ila niwashauri wanawake, Kama you have big dreams usijaribu wala usithubutu kuolewa na wanaume wa ukanda wa Pwani, mostly hawana malengo. Wakati wewe unawaza muinvest mmiliki makampuni, yeye anawaza kuongeza wake amiliki K zaidi....hawana ambition kabisa kwenye maisha, wavivu.....!
Utaishia kuwa Zamaradi, huku unatafuta pesa, huku umaintain status ya mume asionekane umeme mdogo....na bado ukute mume mwenyewe ana gubu humo ndani....tumuoneeni huruma Zama, hapo ukute na kurogwa anarogwa na huyo Mume.