Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Na ndicho kilichowakera watu hadi wanafunguka uhalisia.Yuko tayari amuumize mtu yoyote ili yake yamnyookee na wala hajali.Dhuluma kwake ni kawaida sana, ukisoma comments nyingi hasa kule Instagram.Aiseee basi ana ujasiri wa hatari,unajua the way anajiwekaga mbele ya makamera na maneno ni tofauti na matendo yake