Uasi mkubwa unakuja CCM

Hii nchi imetanuka sasa tusubiri wakubwa ila jambo lipo na halipo mbali!
 
Lakini biblia inasema Samson alikuwa jaji yaani mwamuzi kabla wayahudi hawajapata mfalme.Kwa maani hiyo yeye akipambana na wafilist dhidi ya taifa la Mungu.
 
Miaka yote unasema hivyo ila kijani Bado wanadunda TU. Anguko la ccm litatokea kiwango Cha ujinga na njaakitakapopungua Kwa zaidi ya nusu ya watanzania
 
Lakini biblia inasema Samson alikuwa jaji yaani mwamuzi kabla wayahudi hawajapata mfalme.Kwa maani hiyo yeye akipambana na wafilist dhidi ya taifa la Mungu.
Wewe hujaelewa,, wayahudi walipofika caanan walikuta wafilisti ndio watawala sa eneo lile ,, wayahudi wakaaanza kwanza kuishi hapo kama immigrants, na walikuwa chini ya utawala wa wafilisti,, mfalme saul(finctional character),amekuja kuanza kutawala miaka mingi baada ya waahudi kutoka misri,, hivyo mahakama ilikuwa ni ya wafilisti
 
Miaka yote unasema hivyo ila kijani Bado wanadunda TU. Anguko la ccm litatokea kiwango Cha ujinga na njaakitakapopungua Kwa zaidi ya nusu ya watanzania
Nipe rekodi ya miaka yote na mada zake
 
Uasi ujao na vita mpya kati ya sukuma gang, mtandao wa the elites , visiwani na bara na chawa wenye maslahi kwa kila upande..

Hapo nimewaelewa chawa tu hapo
 
Siku SUKUMA GANG wakirudi madarakani mimi na familia tutahamia CANADA [emoji1063]
 
Wayahudi walikuwa wanaongozwa na Mungu kama unaiamini biblia.Iweje watu wa Mungu wawe watawaliwa wakati nchi wamepewa na Mungu.
 
Mungu ibariki Tanzania...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…