Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abdallah Bulembo ataka rungu la CCM limshukie Luhaga Mpina kwa kwenda kinyume na maadili ya chama
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo, amekiomba Chama hicho kumhoji na kumchukulia hatua za kinidhamu Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa kile alichokiita kwenda kinyume na maadili ya chama. Bulembo ambaye ni Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama hicho, ametoa ushauri...www.jamiiforums.com
Lakini biblia inasema Samson alikuwa jaji yaani mwamuzi kabla wayahudi hawajapata mfalme.Kwa maani hiyo yeye akipambana na wafilist dhidi ya taifa la Mungu.We ndo hujaelewa samsoni alikamatwa kwasababu aliua watu lukuki ili apate magovi ya kulipa mahali, alichoma mashamba ya watu moto,
Homicide&Arson,
Huyo anakuaje victim?
Alikamatwa na serikali wakampeleka mahakamani na huko akafanya suicide mission.
In short, Samsoni ndio gaidi wa kwanza kabisa hapa duniani
Papuchi haijawahi kumuacha mtu salamaAliyedanganywa aka toa Siri ya nguvu zake alikuwa nani? Unamfahamu?
Wewe hujaelewa,, wayahudi walipofika caanan walikuta wafilisti ndio watawala sa eneo lile ,, wayahudi wakaaanza kwanza kuishi hapo kama immigrants, na walikuwa chini ya utawala wa wafilisti,, mfalme saul(finctional character),amekuja kuanza kutawala miaka mingi baada ya waahudi kutoka misri,, hivyo mahakama ilikuwa ni ya wafilistiLakini biblia inasema Samson alikuwa jaji yaani mwamuzi kabla wayahudi hawajapata mfalme.Kwa maani hiyo yeye akipambana na wafilist dhidi ya taifa la Mungu.
Ni uasi ambao haujapata kutokea ndani ya chama cha mapinduzi CCM.. Baada ya kukaa madarakani muda mrefu sana ni kama kuna kikundi ndani yake kimejikuta kinajiona wao ndio ELITES wa hii nchi, na lolote ama chochote kinachofanyika ni lazima kipate kibali chao.
Imefika mahali kikundi hicho kilichojitengenezea ukwasi na mtandao wa ajabu wenye ufadhili mkubwa wa matajiri waliojatajirikia CCM ambao si watanzania asilia kwa asilimia 100. Kina uwezo wa nani awe nani kwenye nafasi gani.
Ujio wa mwendazake ulifanikiwa kwa kiasi chake kuudhoofisha huu mtandao wa hiki kikundi lakini naye akanaza kuharibu kwa kuanza kutengeneza himaya nyingine mpya ya upande mmoja tena kwa ukatili mkubwa sana.
Hapa kitisho kilikuwa wazi ni vita kati ya himaya mpya ya mwendazake vs mtandao kongwe THE ELITES ... Halafu sasa hiki kirusi kipya cha visiwani chenye vinasaba vingi na The elites! Hili linakolezwa na fununu zisizothibitishwa kwamba Taifa la Tz liko chini ya watoto wa familia moja.. 'Baba mmoja'... Ni TUHUMA!
Yaliyotokea ya mhimili mwingine mpaka kupelekea kujiuzulu, kauli ya mkuu wa kaya kuhusiana na 2025, uteuzi wa baraza jipya la mawaziri na makatibu wakuu pamoja na wengine wote kuna tafsiri moja tuu... Uasi ujao na vita mpya kati ya sukuma gang, mtandao wa the elites , visiwani na bara na chawa wenye maslahi kwa kila upande..
Kila kundi liko chimbo likijiandaa kivyake... Ni mchezo wa kuwindana...uasi mkubwa waja...na ndio nafasi pekee ya walio nje ya mfumo ku take cover!
Job huyu mstaafuWhen we tee talk about abnormal.. This is abnormality! View attachment 2078759
Wayahudi walikuwa wanaongozwa na Mungu kama unaiamini biblia.Iweje watu wa Mungu wawe watawaliwa wakati nchi wamepewa na Mungu.Wewe hujaelewa,, wayahudi walipofika caanan walikuta wafilisti ndio watawala sa eneo lile ,, wayahudi wakaaanza kwanza kuishi hapo kama immigrants, na walikuwa chini ya utawala wa wafilisti,, mfalme saul(finctional character),amekuja kuanza kutawala miaka mingi baada ya waahudi kutoka misri,, hivyo mahakama ilikuwa ni ya wafilisti
Itabidi ang'oleweA woman never builds a nation, haijawahi kutokea katika Historia ya Dunia yetu hii, a Woman destroys a nation!
Mungu ibariki Tanzania...!!!Ni uasi ambao haujapata kutokea ndani ya chama cha mapinduzi CCM.. Baada ya kukaa madarakani muda mrefu sana ni kama kuna kikundi ndani yake kimejikuta kinajiona wao ndio ELITES wa hii nchi, na lolote ama chochote kinachofanyika ni lazima kipate kibali chao.