Uasi mkubwa unakuja CCM

Msingi wa taifa umeshikiliwa vizuri hamna wa kuiharibu hii nchi.
acha kujiaminisha ujinga mwenzio Omary Albashir wa Sudan na Alpha conde wa Guinea alikua na fikra kama hizo hawakuamini siku walipokaliashwa chini kiboya Sana
Mpaka Leo wanaona mauza uza tu hii ni Dunia lolote linaweza tokea Ndani ya dk 10 zijazo kikabadilisha Kila kitu!
 
Kwanini waifanye nchi kama kampuni kubwa yenye maslahi ya pande mbili?

Siamini kama binadamu wanaweza kuuwana au kurogana au kuwekeana vikwazo kisa tu wawe madarakani

Ila mambo haya yapo especially kwenye nchi masikini ambapo mtu kupata mali nyingi lazima awe siasani na awe na mchongo
Mungu tusaidie ila kuna watu wana roho za kichawi
 
Kwa hiyo kwa mawazo yako The elites wako kwenye baraza la mawaziri? Hebu rudia tena kusoma nilichoandika
 
Hili ndilo jibu sahihi
MPE MUDA
WEMA NA UOVU UTAJITENGA
TUWAPE MUDA
WA MASHARIKI KASKAZINI KUSINI NA MAGHARIBI NA WALIO KUZIMU..
Wafu hawana mwendo tena... Walishaupiga wakamaliza
 
mambo haya yapo especially kwenye nchi masikini ambapo mtu kupata mali nyingi lazima awe siasani na awe na mchongo
Mungu tusaidie ila kuna watu wana roho za kichawi
 
Aiseh;;mkuu mshanar ungesema pia sisi raia tufanyaje yaani tahadhari gani tuchukue wakati hali ikiwa tete?
Dawa pekee ni kupaza sauti ya uhitaji wa katiba mpya na Bora bila kuogopa kelele ziwatoe ndani na wajikute wanacheza wimbo tunaoimba sisi
 
hakuna kundi la ovyo kama hilo lililotengenezwa na JPM.
Kundi lililokuwa lina viumbe waovu,majambazi,waongo,wafiraji,watekaji,wauaji, washamba na wanafiki sampuli ya kina Sabaya kwa kujiita wazalendo.
Ndo ulivyoambiwa na wakina msoga gang!?
 

Mkuu mama anaupiga mwingi:

Baraza jipya: Watu wale wale, wao Hawajiajiri?

Ushauri wa bure: "kazi iendelee!"

Cc: Jumbe Brown
 
Bora huo mtandao uwepo tunapata hata mchuzi kuliko ushenzi wa kina mwendazake.

Sasa ushenzi wa kuharibu uchumi wetu ndio inatufaidi nini?

Mathalani saizi tenda zimeongezeka,ajira zinatolewa,na biashara zinaanza kwenda.

Sasa msituletee upuuzi wenu
 
Kamwe siwezi kukubariana na mfumo wa kishenzi wa kuendesha uchumi na siasa enzi za mwendazake.

Ni ajabu kwamba kuna watu wanatamani ushenzi kama ule.
 
Wanaifanya nchi yakwao peke Yao nasisi watanzania tunakenua tu kama mingese vile, tupaze sauti rasilimali za nchi zinatafunwa na wachache, kila siku machawa wa SSH wanaongezeka kulinda matumbo Yao wanatufanya watanzania maiti manina
Bora kuwa chawa wa tajiri kuliko chawa wa maskini.

Maskini ndio waliharibu Zimbabwe hadi kesho hakuna Nchi ni upuuzi mtupu,kwa nini hamjifunzi?

Kama unataka kuingia kwenye hiyo familia tafuta pesa ndio upenye sio kuleta taharuki na kulazimisha.

Narudia tena ni Bora hao waendelee kutawala ilimradi kuna mazingira mazuri ya sisi kuweza kujitafitia sio mshenzi na mpuuzi ambae anataka watu wawe maskini Ili wamuabudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…