Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,973
- 13,647
Hili ndilo jibu sahihiNakupa MUDAView attachment 2074784
MPE MUDA
WEMA NA UOVU UTAJITENGA
TUWAPE MUDA
WA MASHARIKI KASKAZINI KUSINI NA MAGHARIBI NA WALIO KUZIMU..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndilo jibu sahihiNakupa MUDAView attachment 2074784
acha kujiaminisha ujinga mwenzio Omary Albashir wa Sudan na Alpha conde wa Guinea alikua na fikra kama hizo hawakuamini siku walipokaliashwa chini kiboya SanaMsingi wa taifa umeshikiliwa vizuri hamna wa kuiharibu hii nchi.
Msoga Gang pia wamerudia kosa LA sukuma GangSukuma gang mistake walioifanya ni moja tu, kumuweka Msoga Gang member mmoja kwenye nafasi kama ile pasipo kujua kuna leo na kesho.
Tofauti na hapo Msoga gang mpaka sasa walikuwa na hali mbaya.
Sitowasupport hawa wanaodhani hii nchi ni ya kwao peke
Kushindwa kutaja kundi hili kwa jina lake halisi ni dhahiri upo upande gani!
Kwa hiyo kwa mawazo yako The elites wako kwenye baraza la mawaziri? Hebu rudia tena kusoma nilichoandikamnapenda kutafuta sababu ya kumkosoa mwendazake kila sehemu inapotakiwa kusifia hata kama nafsi zenu zinakiri alifanya jambo la maana.
embj nikuulize,jamaa katika baraza lake hawa erites walikuwepo kwa sababu zipi kama hakuwa na mpango nao!!!
yeye hakutaka mazoea ya kix3nge kama ya sasa mtu kujiona chama ni mali yake,mpaka kufikia kujimilikisha mali za chama.
mambo haya yapo especially kwenye nchi masikini ambapo mtu kupata mali nyingi lazima awe siasani na awe na mchongoKwanini waifanye nchi kama kampuni kubwa yenye maslahi ya pande mbili?
Siamini kama binadamu wanaweza kuuwana au kurogana au kuwekeana vikwazo kisa tu wawe madarakani
Ila mambo haya yapo especially kwenye nchi masikini ambapo mtu kupata mali nyingi lazima awe siasani na awe na mchongo
Mungu tusaidie ila kuna watu wana roho za kichawi
Dawa pekee ni kupaza sauti ya uhitaji wa katiba mpya na Bora bila kuogopa kelele ziwatoe ndani na wajikute wanacheza wimbo tunaoimba sisiAiseh;;mkuu mshanar ungesema pia sisi raia tufanyaje yaani tahadhari gani tuchukue wakati hali ikiwa tete?
Ficha basi ukichaa na ujinga wako hata kidogo hivi unaakili timamu kweli kumsifia marehemu muuaji?Leo ndiyo umejua umuhimu wa Magufuli?
Na bado nyumbu gang wote mtatubu kwa Chato.
Kwa hiyo kwa mawazo yako The elites wako kwenye baraza la mawaziri? Hebu rudia tena kusoma nilichoandika
Ndo ulivyoambiwa na wakina msoga gang!?hakuna kundi la ovyo kama hilo lililotengenezwa na JPM.
Kundi lililokuwa lina viumbe waovu,majambazi,waongo,wafiraji,watekaji,wauaji, washamba na wanafiki sampuli ya kina Sabaya kwa kujiita wazalendo.
Ni uasi ambao haujapata kutokea ndani ya chama cha mapinduzi CCM.. Baada ya kukaa madarakani muda mrefu sana ni kama kuna kikundi ndani yake kimejikuta kinajiona wao ndio ELITES wa hii nchi, na lolote ama chochote kinachofanyika ni lazima kipate kibali chao
Imefika mahali kikundi hicho kilichojitengenezea ukwasi na mtandao wa ajabu wenye ufadhili mkubwa wa matajiri waliojatajirikia ccm ambao si watanzania asilia kwa asilimia 100.. Kina uwezo wa nani awe nani kwenye nafasi gani
Ujio wa mwendazake ulifanikiwa kwa kiasi chake kuudhoofisha huu mtandao wa hiki kikundi lakini naye akaaza kuharibu kwa kuanza kutengeneza himaya nyingine mpya ya upande mmoja tena kwa ukatili mkubwa sana
Hapa kitisho kilikuwa wazi ni vita kati ya himaya mpya ya mwendazake vs mtandao kongwe THE ELITES ... Halafu sasa hiki kirusi kipya cha visiwani chenye vinasaba vingi na The elites! Hili linakolezwa na fununu zisizothibitishwa kwamba Taifa la Tz liko chini ya watoto wa familia moja.. 'Baba mmoja'... Ni TUHUMA!
Yaliyotokea ya mhimili mwingine mpaka kupelekea kujiuzulu, kauli ya mkuu wa kaya kuhusiana na 2025, uteuzi wa baraza jipya la mawaziri, na makatibu wakuu pamoja na wengine wote kuna tafsiri moja tuu... Uasi ujao na vita mpya kati ya sukuma gang, mtandao wa the elites , visiwani na bara na chawa wenye maslahi kwa kila upande..
Kila kundi liko chimbo likijiandaa kivyake... Ni mchezo wa kuwindana...uasi mkubwa waja...na ndio nafasi pekee ya walio nje ya mfumo ku take cover!
Bora huo mtandao uwepo tunapata hata mchuzi kuliko ushenzi wa kina mwendazake.Ni uasi ambao haujapata kutokea ndani ya chama cha mapinduzi CCM.. Baada ya kukaa madarakani muda mrefu sana ni kama kuna kikundi ndani yake kimejikuta kinajiona wao ndio ELITES wa hii nchi, na lolote ama chochote kinachofanyika ni lazima kipate kibali chao
Imefika mahali kikundi hicho kilichojitengenezea ukwasi na mtandao wa ajabu wenye ufadhili mkubwa wa matajiri waliojatajirikia ccm ambao si watanzania asilia kwa asilimia 100.. Kina uwezo wa nani awe nani kwenye nafasi gani
Ujio wa mwendazake ulifanikiwa kwa kiasi chake kuudhoofisha huu mtandao wa hiki kikundi lakini naye akaaza kuharibu kwa kuanza kutengeneza himaya nyingine mpya ya upande mmoja tena kwa ukatili mkubwa sana
Hapa kitisho kilikuwa wazi ni vita kati ya himaya mpya ya mwendazake vs mtandao kongwe THE ELITES ... Halafu sasa hiki kirusi kipya cha visiwani chenye vinasaba vingi na The elites! Hili linakolezwa na fununu zisizothibitishwa kwamba Taifa la Tz liko chini ya watoto wa familia moja.. 'Baba mmoja'... Ni TUHUMA!
Yaliyotokea ya mhimili mwingine mpaka kupelekea kujiuzulu, kauli ya mkuu wa kaya kuhusiana na 2025, uteuzi wa baraza jipya la mawaziri, na makatibu wakuu pamoja na wengine wote kuna tafsiri moja tuu... Uasi ujao na vita mpya kati ya sukuma gang, mtandao wa the elites , visiwani na bara na chawa wenye maslahi kwa kila upande..
Kila kundi liko chimbo likijiandaa kivyake... Ni mchezo wa kuwindana...uasi mkubwa waja...na ndio nafasi pekee ya walio nje ya mfumo ku take cover!
Kamwe siwezi kukubariana na mfumo wa kishenzi wa kuendesha uchumi na siasa enzi za mwendazake.Hawa watu hawajui magu aliharibu mifumo kwa upande flan japo alikula mfupa uliowashinda wengine.. Kuna wkt magu aliharibu mtake msitake.
Kwa mfano, kujitenga na magharib ni kosa.
Kutengeneza makundi ni kosa gang hizi ni upuuzi.
Kutoshinikiza katiba na kuilinda yye aliikiuka kuivunja
Kutengeneza wahuni..wakina sabay na makonda...
Kuua upinzani ni kosa kubwa sana
Bora kuwa chawa wa tajiri kuliko chawa wa maskini.Wanaifanya nchi yakwao peke Yao nasisi watanzania tunakenua tu kama mingese vile, tupaze sauti rasilimali za nchi zinatafunwa na wachache, kila siku machawa wa SSH wanaongezeka kulinda matumbo Yao wanatufanya watanzania maiti manina
Nyie ni kenge tuu.Angela Merkel destroyed Germany !