Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Crdb je
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Crdb je
UbabAishaji tu...bank ambayo hain ubabaishaj ni equity bank ,Crdb je
Hahahaha, kabisaaNa wakati wa REJESHO uwe na nguvu hz hz sawa.
Kweli ni mambo ya kizee sanaHii bank imekuwa ya kizee sana, yani kama unatala kwenda kupoteza siku yako ukila kiyoyozi bank na NBC,
Usizidishe tu miaka 3, Benji zote ubabaishaji umewajaa na kinachouma processing fee
Kumbe? Ni kwmba wanooneana wivu?Usizidishe tu miaka 3, Benji zote ubabaishaji umewajaa na kinachouma processing fee
Kwani processing fee inakuwaje? Mfano umekopa milioni moja na riba jumlisha insurance kwa mwaka unarudisha 1,226,000/.Usizidishe tu miaka 3, Benji zote ubabaishaji umewajaa na kinachouma processing fee
Shukuru Mungu umekosa......mikopo yao haina baraka.....unaweza kuingia kwenye mitihani....Bank ya NBC ni wababaishaji sana kuhusu utoaji wa mikopo. Sijui tatizo ni nini? Mtu anaomba mkopo taratibu zote zimesha kamilika mpaka makato tayari lakini hawaingizi mkopo. Kuna jamaa ameomba mkopo NBC yapata mwezi sasa umekwisha mkopo hawaingizi na anakatwa.
Amefatilia kwa Afisa Mikopo kamwambia yeye kashamaliza sehemu yake bado sehemu sijui ya mtu gani uko anayehusika kuapprove.
Kwakweli hii bank ni tatizo huduma zake haziriziki sishauri mtu hata siku moja kama ana uhitaji wa fedha kwa dharura aende NBC hakika utakwamishwa bila hata sababu za msingi. Kama kuna mdau anajua tatizo la kucheleweshewa mkopo atuambie.