Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Inashangaza sana. Mtu anapewa Seven Up au Mirinda Orange Ili tu apewe soda aina ya Pepsi.Kwenye hii nchi iliyooza 😁😁😁 hakuna kitu watafanywa
Unanunua kitu hakiuziki hasara ya moja kwa mojaInashangaza sana. Mtu anapewa Seven Up au Mirinda Orange Ili tu apewe soda aina ya Pepsi.
Matokeo badala ya kupata faida, mtu anaishia kubakiwa na aina za soda asizo na wateja wake.
Wanunuzi wagomee kununua ili sisi wanywa soda tubadilike tuanze kunywa coca ambayo imejifia baada ya pepsi kubambaInashangaza sana. Mtu anapewa Seven Up au Mirinda Orange Ili tu apewe soda aina ya Pepsi.
Matokeo badala ya kupata faida, mtu anaishia kubakiwa na aina za soda asizo na wateja wake.
Ina maana serikali haijui? Yaani ni kama Pepsi inalazimisha wateja wao wawe sehemu ya idara yao ya masoko kuingiza bidhaa zao nyingine sokoni kwa kutumia soda ya Pepsi.Unanunua kitu hakiuziki hasara ya moja kwa moja
Na wao Pepsi kwa kuwa wanajua wana "upper hand" kwa washindani wao, na udhaifu wa kusimamia maslahi ya walaji, ndiyo maana wanafanya ubabe huu.Wanunuzi wagomee kununua ili sisi wanywa soda tubadilike tuanze kunywa coca ambayo imejifia baada ya pepsi kubamba
Yees!!Ni mkoani
hata Arusha,Moshi, Dodoma nk ni ngumu, mtu hatochukua anawahama kabisa anabaki na coca-cola kampuni inatakiwa kuwa na adabu Kwa mtejaYees!!
Kwa dar hawathubutu. Lakini kwetu Iringa ni kawaida. Haiwezekani wakupe kreti lenye Pepsi Pekee, ni LAZIMA uchanganyiwe ama na Mirinda Orange au Fruit, Seven Up au Mountain Dew.
Maana unachukua soda ambazo huna wateja nazo, matokeo yake zinafanya mtaji ushindwe kuzunguka.hata Arusha,Moshi, Dodoma nk ni ngumu, mtu hatochukua anawahama kabisa anabaki na coca-cola kampuni inatakiwa kuwa na adabu Kwa mteja
Tena imeanza huku huko kwenu 😄 🤣Zamani nilikua najua kwamba jahanam ipo baada ya kifo, skuizi nimegundua jahanam tupo nayo hapahapa duniani..🤣
Tushalalamika sana kwa meneja wa hapa Iringa. Aliniambia ni sera ya Kampuni. Nina Lengo la kuwasilisha rasmi malalamiko yangu kwa Tanzania Fair Competition Commission (TFCC) Kwa hatua zaidi za kisheria.Kwani unalazimishwa kuchukua.Kataa wasiliana na Meneja wa Tawi linalohusika upewe maelezo kwanini unalazimishwa kununua usichokitaka.Kulalama tu hakutakusaidia chochote. Kama uliwasiliana na wahusika ulijibiwa nini?Sio kila jambo hata lililopo kwenye uwezo wako unailaumu Serikali.
Enzi za Ugawaji na maduka ya Kaya ilieleweka maana kulikuwa na ukiritimba Wa soko wa mashirika ya Umma.Wala mshiyashangae haya
Wahenga tunajua yalikuwepo na yataendelea kuwepo
Tulilazimishwa kununua betri ukitaka sukari
Unga kwa wembe utake usitake
Mpo kwenye Ujamaa bado