Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Wajinga sana hao, sasa kama wanaona baadhi ya aina za soda hazinyweki si waache kutengeneza au kuzalisha kidogo sana?Tushalalamika sana kwa meneja wa hapa Iringa. Aliniambia ni sera ya Kampuni. Nina Lengo la kuwasilisha rasmi malalamiko yangu kwa Tanzania Fair Competition Commission (TFCC) Kwa hatua zaidi za kisheria.
Kwanini walazimishe kuwa na aina kumi wakati zenye soko ni sita kwa mfano?