Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well said. Wanataka Kulinganisha BBC na utopolo wao TBCSerikali ya ccm na watumishi wake ni nazi inayo jiamini kuwa imekomaa bara bara so inaanza kujiongopea kuwa inaweza kulivunja JIiwe (mabeberu)
Hivyo vyombo vya habari vyote ni vya mabeberu watakapo chafuka na kuitoa ccm madarakani msije anza kulia lia tu nakudai kuwa mmeonewa
Ni kanuni tu,hata wewe huwezi kwenda uk ukarusha tu matangazokabombe
Wewe wasema hivyo.......
Lakini mbona viongozi wako wanakosa usingizi kwa habari hizo za BBC hadi kusababisha kuwapiga "stop" wasisikike tena hapa nchini?
Hata upinzani hasa chadema na ACT wamepewa political mileage na kufungiwa ndani ya chupa miaka 5, wanapoenda kuachiwa in 2 weeks time, watu watatamani wawaone na kuwasikia na hata kuwaunga mkono.Walichofanya watawala wetu ni namna ya "kuviadvertise" na bonge la "promo" kwa vyombo hivyo vya habari vya nje, vya BBC, DW na VoA, bila wenyewe watawala wetu kujua!
Hivi miaka yote mitano mmepewa nyinyi tu ukumbi wa kujitangaza, bado tu hamjatosheka na huo Uhuru mliopewaHata upinzani hasa chadema na ACT wamepewa political mileage na kufungiwa ndani ya chupa miaka 5, wanapoenda kuachiwa in 2 weeks time, watu watatamani wawaone na kuwasikia na hata kuwaunga mkono.
Tunatishwa na sauti ya vishindo vyetu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hivi miaka yote mitano mmepewa nyinyi tu ukumbi wa kujitangaza, bado tu hamjatosheka na huo Uhuru mliopewa
kama una smart phone unaweza ukapakuwa app ya bbc swahili au ukaende kweny website bbc.com/swahili utapata kila kitu. sema tunako elekea hata internet itazimwa. ipaki TBC.comSasa bbc tunaweza kuwapataje mngetupa mwongozo tuingie wapi tusikilize taarifa zao maana Sasa hv tupo gizan