Ubabe wa watawala wetu umepaisha umaarufu wa vyombo vya habari vya nje vya BBC, DW na VoA!

Ubabe wa watawala wetu umepaisha umaarufu wa vyombo vya habari vya nje vya BBC, DW na VoA!

Serikali ya ccm na watumishi wake ni nazi inayo jiamini kuwa imekomaa bara bara so inaanza kujiongopea kuwa inaweza kulivunja JIiwe (mabeberu)

Hivyo vyombo vya habari vyote ni vya mabeberu watakapo chafuka na kuitoa ccm madarakani msije anza kulia lia tu nakudai kuwa mmeonewa
Well said. Wanataka Kulinganisha BBC na utopolo wao TBC
 
Sipotezi muda kusikiliza chombo Cha nje
Ripota anaonfea toka Nairobi hizo habari kapata wapi
 
Sipotezi muda kusikiliza chombo Cha nje
Ripota anaonfea toka Nairobi hizo habari kapata wapi
kabombe
Wewe wasema hivyo.......

Lakini mbona viongozi wako wanakosa usingizi kwa habari hizo za BBC hadi kusababisha kuwapiga "stop" wasisikike tena hapa nchini?
 
kabombe
Wewe wasema hivyo.......

Lakini mbona viongozi wako wanakosa usingizi kwa habari hizo za BBC hadi kusababisha kuwapiga "stop" wasisikike tena hapa nchini?
Ni kanuni tu,hata wewe huwezi kwenda uk ukarusha tu matangazo
Nenda ubalozi wa uk kaombe viza unataka kwenda kwao kufungua redio Kama watakupa hiyo viza.waambie wafuate maelekezo mbona RFI inasikika?
 
Walichofanya watawala wetu ni namna ya "kuviadvertise" na bonge la "promo" kwa vyombo hivyo vya habari vya nje, vya BBC, DW na VoA, bila wenyewe watawala wetu kujua!
Hata upinzani hasa chadema na ACT wamepewa political mileage na kufungiwa ndani ya chupa miaka 5, wanapoenda kuachiwa in 2 weeks time, watu watatamani wawaone na kuwasikia na hata kuwaunga mkono.
 
Hata upinzani hasa chadema na ACT wamepewa political mileage na kufungiwa ndani ya chupa miaka 5, wanapoenda kuachiwa in 2 weeks time, watu watatamani wawaone na kuwasikia na hata kuwaunga mkono.
Hivi miaka yote mitano mmepewa nyinyi tu ukumbi wa kujitangaza, bado tu hamjatosheka na huo Uhuru mliopewa
 
Sasa bbc tunaweza kuwapataje mngetupa mwongozo tuingie wapi tusikilize taarifa zao maana Sasa hv tupo gizan
kama una smart phone unaweza ukapakuwa app ya bbc swahili au ukaende kweny website bbc.com/swahili utapata kila kitu. sema tunako elekea hata internet itazimwa. ipaki TBC.com
 
Gaddaf alikuwa anafanya hivyo, kila siku watu wa Libya walikuwa wanasoma mawazo yake tu. Mwisho alifia kwenye mtaro kama kibaka wa Manzese
 
Back
Top Bottom