Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
Mama kamtoa huko waliko taka kumtoa roho kampeleka kwenye ulinzi mkali.Lucas mwashambwa Kijana wa Tulia anakwambia Dogo Makonda ni hazina ya Taifa anahitaji ulinzi mkali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama kamtoa huko waliko taka kumtoa roho kampeleka kwenye ulinzi mkali.Lucas mwashambwa Kijana wa Tulia anakwambia Dogo Makonda ni hazina ya Taifa anahitaji ulinzi mkali.
Kweli maana jamaa azidi kula teuzi tuUtukufu wa Mungu ni wa ajabu sana
Halafu ikawaje ?We
wewe ni kichaa sisi tulikuwa hatushangilii punda wala Magari yake...tulikuwa tunashangilia kuwakumbusha viongozi wazembe Wajibu na majukumu yao
Ndio maana tumesema ubadhirifuiyo picha ya chini sio msafara ni maandamano ya magari.duh,,!
Muhuni huyu. anapiga picha foleni halafu anatwambia msafaraMkuu hiyo Picha ya chini, hakuna msafara kama huo hapa TZ...