peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
angalia post #59Thibitisha kuwa hiyo picha ni msafara wa makonda
Halafu magari yote hayo hakuna hata moja yenye bendera ya ccm!Ni sahihi na hata hizo plate number ni nyeupe, sidhani kama zipo Tanzania plate number nyeupe. Huyu hawara wa Mbowe akikosaga kitu cha kupost huwa anadanganya.
Hiyo ni njiapanda HIMO , ubishi hautokusaidia chochoteHalafu magari yote hayo hakuna hata moja yenye bendera ya ccm!
Huyu mfanyabiashara wa kimataifa ni muongo.
Unamcheka Mukya Mkuu.Sijui kwanini nimecheka sana!😅😅😅😅
Huyo Joyce hana jipya.Atajifanya hajaiona hii comment.
Erythrocyte
HahaahahaaMkuu hiyo Picha ya chini, hakuna msafara kama huo hapa TZ...
Kero za wanyongeHebu angalia Magari ya serikali yanavyotumika vibaya , tena bila huruma kwa Wananchi makapuku wanaoitwa Wanyonge
View attachment 2883487View attachment 2883488
Baada ya Hapa anapanda Punda na kushangiliwa na Wajinga .
Kiukweli hii Nchi aliyeipiga Jini ana roho mbaya sana ! yaani kailoga kikatili sana !
Msafara wake ni mara 2 ya msafara wa Hangaya .
Juzi huajaona kaingia na mkokoteni anauvuta kama wale wanaobeba ndizi kule kiboriloni?Hebu angalia Magari ya serikali yanavyotumika vibaya , tena bila huruma kwa Wananchi makapuku wanaoitwa Wanyonge
View attachment 2883487View attachment 2883488
Baada ya Hapa anapanda Punda na kushangiliwa na Wajinga .
Kiukweli hii Nchi aliyeipiga Jini ana roho mbaya sana ! yaani kailoga kikatili sana !
Msafara wake ni mara 2 ya msafara wa Hangaya .
I don’t envy this but if this was chakademus, mngesema maandamano yalifanaHebu angalia Magari ya serikali yanavyotumika vibaya , tena bila huruma kwa Wananchi makapuku wanaoitwa Wanyonge
View attachment 2883487View attachment 2883488
Baada ya Hapa anapanda Punda na kushangiliwa na Wajinga .
Kiukweli hii Nchi aliyeipiga Jini ana roho mbaya sana ! yaani kailoga kikatili sana !
Msafara wake ni mara 2 ya msafara wa Hangaya .
Huu utetezi ndio wa hovyo kabisa kupata kutokea.... kuwatoa watu kwenye idara zao za kazi kwenda kwenye mkutano wa mwenezi ni matumizi mabaya ya resources. Huku ni kukosa maarifa.Kumbuka hapo wapo viongozi wote wa idara mbalimbali na taasisi mbalimbali na vitengo mbalimbali.ndio maana unaona mahali anapofika na kukuta kuna changamoto ya aina fulani inayogusa idara fulani anamwita mhusika kutoka idara husika au taasisi husika kutoa majibu stahiki.
Kwa hiyo hapo kila mtu atahusika kujibu maswali na kutoa ufafanuzi pale eneo lake kikazi litaguswa na wananchi kwa kuulizwa maswali.
Ndio maana tunasema CCM Ndio yenye majibu ya maswali ya wananchi.ukiiona CCM au viongozi wake basi fahamu kuwa chochote utakachouliza lazima upate majibu na suluhisho. Tofauti na CHADEMA ambao wao kazi yao huwa ni kupiga porojo ,uzushi ,uongo na kulalamika muda wote bila kuwa na shirikisho ya jambo lolote lile.
Ndio maana wananchi wanafurika sana kwenye mikutano ya Mheshimiwa mwamba mwenyewe Paul Makonda kwa kuwa wanajuwa ndio Mashali pekee unapoweza kupata majibu ya jambo lolote lile.
kwa mujibu wa sheria za JF Name calling ni makosa na unastahili ban , unaandika uongo bila hata aibu ili kunitweza , huyo mama mnayemsingizia hahusiki na nyuzi zangu hapa jf , jifunzeni adabu sisi wengine ni sawa na wazazi wenuHuyo Joyce hana jipya.
Hoja yako ni ipi ?I don’t envy this but if this was chakademus, mngesema maandamano yalifana
Ni wenyewe kabisaaa! Tumeushuhudia wengiMkuu hiyo Picha ya chini, hakuna msafara kama huo hapa TZ...
🤣Ndiyo maana nawashaurini, kwa nchi hii, ukiweza kukwepa kodi, fanya hivyo kwa jitihada zako zote, maana hata ukiwa mwaminifu, pesa yako itaenda kuchezewa na majitu ya ajabu, kama Makonda. Na kodi yako inaweza kwenda kutumika kuwateka, kuwapoteza hata kuwaua watu wasio na hatia.
Hiyo picha ni ya Makonda na Unaweza kuiangalia hata hapa
View: https://twitter.com/MariaSTsehai/status/1750516383446598093/mediaViewer?currentTweet=1750516383446598093¤tTweetUser=MariaSTsehai
😆😆😆😆😆Mbona huu NI kama msafara WA Ruto juke Kenya, wakati WA uchaguzi