Pre GE2025 Ubadhirifu: Huu ni Msafara wa Makonda, baadaye anapanda Punda halafu Wajinga wanamshangilia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kumbuka hapo wapo viongozi wote wa idara mbalimbali na taasisi mbalimbali na vitengo mbalimbali.ndio maana unaona mahali anapofika na kukuta kuna changamoto ya aina fulani inayogusa idara fulani anamwita mhusika kutoka idara husika au taasisi husika kutoa majibu stahiki.

Kwa hiyo hapo kila mtu atahusika kujibu maswali na kutoa ufafanuzi pale eneo lake kikazi litaguswa na wananchi kwa kuulizwa maswali.

Ndio maana tunasema CCM Ndio yenye majibu ya maswali ya wananchi.ukiiona CCM au viongozi wake basi fahamu kuwa chochote utakachouliza lazima upate majibu na suluhisho. Tofauti na CHADEMA ambao wao kazi yao huwa ni kupiga porojo ,uzushi ,uongo na kulalamika muda wote bila kuwa na shirikisho ya jambo lolote lile.

Ndio maana wananchi wanafurika sana kwenye mikutano ya Mheshimiwa mwamba mwenyewe Paul Makonda kwa kuwa wanajuwa ndio Mashali pekee unapoweza kupata majibu ya jambo lolote lile.
Mbona hii post kama inabomoa zaidi
 
kuna mdau mmoja jana alicoment kwenye bandiko la mayalla nikapenda sana comment yake inasema.

"Zamani nilikua nataka Tanzania tujikomboe kifikra ila Kwa Sasa nimeamua kuipenda hivo hivo bila kutamani chochote kutoka kwake,ni kama uzae mtoto mlemavu ambae yupo kitandani mda wote mwisho wa siku hutamani Tena apone unajifunza kumkubali Hali yake na kumpenda hivo hivo.
Aisee nmeskrinshot hiyo quote ya mdau. Statement almasi tupu.
 
kuna mdau mmoja jana alicoment kwenye bandiko la mayalla nikapenda sana comment yake inasema.

"Zamani nilikua nataka Tanzania tujikomboe kifikra ila Kwa Sasa nimeamua kuipenda hivo hivo bila kutamani chochote kutoka kwake,ni kama uzae mtoto mlemavu ambae yupo kitandani mda wote mwisho wa siku hutamani Tena apone unajifunza kumkubali Hali yake na kumpenda hivo hivo.
Very super ingawa ni ya kukatisha tamaa. Ilipaswa isiwe hivi!
 
Hebu angalia Magari ya serikali yanavyotumika vibaya , tena bila huruma kwa Wananchi makapuku wanaoitwa Wanyonge

View attachment 2883487View attachment 2883488

Baada ya Hapa anapanda Punda na kushangiliwa na Wajinga .

Kiukweli hii Nchi aliyeipiga Jini ana roho mbaya sana ! yaani kailoga kikatili sana !

Msafara wake ni mara 2 ya msafara wa Hangaya .
Mbona sioni jezi za chama
 
Chopa inagharama zaidi ya msafara wa Makonda
 
Hebu angalia Magari ya serikali yanavyotumika vibaya , tena bila huruma kwa Wananchi makapuku wanaoitwa Wanyonge

View attachment 2883487View attachment 2883488

Baada ya Hapa anapanda Punda na kushangiliwa na Wajinga .

Kiukweli hii Nchi aliyeipiga Jini ana roho mbaya sana ! yaani kailoga kikatili sana !

Msafara wake ni mara 2 ya msafara wa Hangaya .
Bro, mbona hizo gari kama zina namba za kigeni?
 
Punguza hasira. unaotaka kupigia kura unawaita wajinga. Siku Mkapa alivyoiwaita malofa na wapumbavu mli-mind
 
Ndo matumizi ya Kodi zetu hayo we lipa Kodi kwa maendeleo
 
Wajinga ni waliopinga hatua za kulinda rasilimali za taifa kwa kisingizio cha kushitakiwa MIGA
Wewe hunaga akili. Unafikiri adui wa Tanzania ni chadema? Adui yupo kwenye manguo ya kijani huko. Umekariri mpaka leo MIGA. Ungetwambia ni cases ngapi zilpelekwa maharani enzi za yule Prague wako wa chato
 
Sasa hizo gari nyeupe zenye white plate number nazo ni za CCM? Hakuna hata yenye bendera ya chama!
 
Back
Top Bottom