R Rwankomezi JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 3,285 Reaction score 2,636 Mar 31, 2024 #101 Walnut Creek said: Lucas mwashambwa Kijana wa Tulia anakwambia Dogo Makonda ni hazina ya Taifa anahitaji ulinzi mkali. Click to expand... Mama kamtoa huko waliko taka kumtoa roho kampeleka kwenye ulinzi mkali.
Walnut Creek said: Lucas mwashambwa Kijana wa Tulia anakwambia Dogo Makonda ni hazina ya Taifa anahitaji ulinzi mkali. Click to expand... Mama kamtoa huko waliko taka kumtoa roho kampeleka kwenye ulinzi mkali.
much know JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 11,461 Reaction score 17,183 Mar 31, 2024 #102 Erythrocyte said: Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana Click to expand... Kweli maana jamaa azidi kula teuzi tu
Erythrocyte said: Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana Click to expand... Kweli maana jamaa azidi kula teuzi tu
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Mar 31, 2024 Thread starter #103 Rwankomezi said: We wewe ni kichaa sisi tulikuwa hatushangilii punda wala Magari yake...tulikuwa tunashangilia kuwakumbusha viongozi wazembe Wajibu na majukumu yao Click to expand... Halafu ikawaje ?
Rwankomezi said: We wewe ni kichaa sisi tulikuwa hatushangilii punda wala Magari yake...tulikuwa tunashangilia kuwakumbusha viongozi wazembe Wajibu na majukumu yao Click to expand... Halafu ikawaje ?
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 6,782 Reaction score 14,148 Mar 31, 2024 #104 iyo picha ya chini sio msafara ni maandamano ya magari.duh,,!
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Mar 31, 2024 Thread starter #105 Sultan MackJoe Khalifa said: iyo picha ya chini sio msafara ni maandamano ya magari.duh,,! Click to expand... Ndio maana tumesema ubadhirifu
Sultan MackJoe Khalifa said: iyo picha ya chini sio msafara ni maandamano ya magari.duh,,! Click to expand... Ndio maana tumesema ubadhirifu
F Flagin JF-Expert Member Joined Mar 26, 2024 Posts 410 Reaction score 540 Mar 31, 2024 #106 Mpemba Mimi said: Mkuu hiyo Picha ya chini, hakuna msafara kama huo hapa TZ... Click to expand... Muhuni huyu. anapiga picha foleni halafu anatwambia msafara
Mpemba Mimi said: Mkuu hiyo Picha ya chini, hakuna msafara kama huo hapa TZ... Click to expand... Muhuni huyu. anapiga picha foleni halafu anatwambia msafara