Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Nyerere Ubaguzi wa Rangi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo msimtegemei Makufuli kuleta muafaka,hapo tegemeeni Makufuli kuzidisha mtafaruku kwa kuwa upande wa ccm na ndio mtakubaliana nami kwamba, Makufuli hana ubavu wa kuongoza nchi hii kwa haki
Bango linaloashiria UBAGUZI CCM yaomba radhi
![]()
TAARIFA KWA UMMA
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa sana na ujumbe wenye maudhui ya ubaguzi ulioandikwa kwenye moja ya Bango lililobebwa na mmoja wa wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya Sherehe za Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaomba radhi kwa ujumbe huo, kinapinga na kinakemea kabisa fikra, hisia na mitazamo yoyote yenye maudhui ya kibaguzi.
Ujumbe huo sio tu kuwa una maudhui ya kibaguzi bali pia unaenda kinyume kabisa na falsafa na Shabaha ya waasisi wa Mapinduzi hayo Matukufu ya mwaka 1964 na unapingana na misingi na itikadi ya CCM inayohimiza Umoja na Mshikamano wa Kitaifa.
Daniel Chongolo
Mkuu wa Mawasiliano na Umma CCM.
12/01/2016
Too late, the cat is out of tha bag!Bango linaloashiria UBAGUZI CCM yaomba radhi
![]()
TAARIFA KWA UMMA
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa sana na ujumbe wenye maudhui ya ubaguzi ulioandikwa kwenye moja ya Bango lililobebwa na mmoja wa wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya Sherehe za Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaomba radhi kwa ujumbe huo, kinapinga na kinakemea kabisa fikra, hisia na mitazamo yoyote yenye maudhui ya kibaguzi.
Ujumbe huo sio tu kuwa una maudhui ya kibaguzi bali pia unaenda kinyume kabisa na falsafa na Shabaha ya waasisi wa Mapinduzi hayo Matukufu ya mwaka 1964 na unapingana na misingi na itikadi ya CCM inayohimiza Umoja na Mshikamano wa Kitaifa.
Daniel Chongolo
Mkuu wa Mawasiliano na Umma CCM.
12/01/2016
Nimemkumbuka Luqman Maloto kwenye moja ya makala zake aliwahi kuandika, "Zanzibar hakuna ugomvi wa kisiasa. Zanzibar kuna chuki."
Too late, the cat is out of tha bag!
Niliwahi kuandika thread huko nyuma kwamba Zanzibar ina jamii ambayo bado ubaguzi upo, wengi walidhihaki.
Sasa it is out in the open.
Divisions za jamii huko zenj kulingana na asili zipo ila zilikuwa zinasokomezwa underground.
Sasa siasa imeziibua, na mtoa rhread ni mmoja wa walioziibua hisia hizo hasa katika ubaguzi wa kidini.
CCM wakimaliza machotara watahamia kwa wenye visogo,maana wazenj wengi hawana visogoMm huwa nawatahadharisha sana ccm zanzibar,wakimaliza kuwapoteza machotara wa zanzibar kibao kitageuga na wa kutoka mrima hawatobaki salama zanzibar.
Mgen,teh teh teh ni wewe mudi said ulieleta huu Uzi au I'd yako imedukuliwa?¿ we we ni mbaguzi wahed unawabagua wagala as if umetoka kuzimu; utavuna unachokipanda! mkuki kwa inzir kwa binadam mchungu eeh?
1954,Nakubaliana nawe kwa asilimia 98 kuhusu vijana hao kuweka bango hilo. Lakini lazima pia tuwe wakweli. wale waarabu waliondoka Zanzibar baada ya mapinduzi au waarabu hao waliopinduliwa bado wanadai (siyo rasmi) kuwa Zanzibar ni yao na kwamba kwa kuwa waliondolewa kwa mtutu wa bunduki watarejea kupitia sanduku la kura. Sasa hapo ndipo tatizo. Kinachoonekana hapa ni kuwa waarabu hao wanatumia baadhi ya viongozi wa CUF kutaka kurejea Zanzibar kwa njia ya kura...
hizbu ndiyo nini wazee
Mgen,
Ni tabu kujibu matusi.
Nenda ulaya utakuta zile nchi ni za wazungu. Nenda uarabuni utakuta zile nchi ni za waarabu. Lakini haimaanishi kuwa kule watu wa rangi na asili tofauti hawakaribishwi na kupewa uraia la hasha. Na ndio pia tufanyavyo hapa barani Africa.
Watu wa mabara yote wako hapa. Ni shwari kwetu na kwao. Lakini hizi nchi zetu pamoja na zanzibar ni nchi za kiafrika.
Tusilionee aibu hili