Ubaguzi: Machotara Hizbu, Zanzibar ni nchi ya Waafrika

Zipo simulizi ambazo wale wenye umri mkubwa husema kuwa ni za kweli kuhusu Karume kuwaambia wasaidizi wake kuwa wazae na kinamama kutoka mashariki ya kati kadri iwezekanavyo, na watoto waliozaliwa ni machotara, lakini hawakosekani kwenye shughuli za CCM kwa sababu wazazi wao ni wazalendo. Uchotara uliandikwa kwenye hilo bango ni ule unaohusisha kuwanyima haki wazalendo, ni ule uchotara wenye kumchukulia mzalendo kama mnyama. Uchotara wenye maumivu kwa wazalendo. Nadhani hilo bango limelenga zaidi katika kuwasema machotara wenye zile akili za wale weusi na sisi ni watu wenye rangi bora zaidi (high class).
 
Ahahahahahahahahah..safi sana wazenji waafrika.Leo ustadhi moody kalishwa fupa la nguruwe mpaka kamkumbuka mwalimu nyerere.Kumbe ubaguzi ni mbaya eenh..Na wewe u.kome kubagua wakristo.Sisi sote ni viumbe wa Mungu Mmoja.
Ndo unafiki ulikithiri.
Huyu jamaa kaandika na kuandika, makala ndeefu humu mitandaoni kumkashifu Mwalimu , ati katokana na "mfumo Kristo", ambao ulikandamiza uislamu na waislamu!
Uchochezi mtupu.
Sasa leo pamoja na kuonywa na Mwalimu kabla hajafa, juu ya ubaguzi, anashangaa nini?

Ukianza kupanda mbegu ya chuki, unafikiri utengano utaota pale unapopatazamia, sasa utengano umeoto pale asipotazamia.
Mohamme Said ni mtu mzima lakini nadiriki kusema hana hekima wala busara za umri wake.

Waliobaguana huko Zanzibar ni waislamu wenziwe, siye huku Tanganyika hatuna sababu yoyote kushangilia dhambi hii, lakini inawatafuna watu kama Mohammed Said, tena kwa muda mrefu ujao.
 
Cha kushangaza hao viongozi wote wa CCM karibia wote wake zao ni machotora na watoto wa ni machotora.
Kila mtu anapenda kuoa mwanamke chotara ili alete kizazi kizuri hata mimi mke wangu ni Chotara,mke wa shein naye chotara,kikwete naye hakuridhika na mama salma ikabd achukue chotara sehemu flani hv,sasa hawa vijana wamekutwa na nini???huyo sadifa mwenyewe juzi tu kamuoa Chotara yule mcheza move Wastara,kumbe wanapenda mademu machotora halafu hawawapendi shemeji zao???uvccm mnaenda wapi???
 
wanyamwezi wa kizazi cha tatu kivipi ina maana Waajemi walipokuja Znz hawakukuta watu? au ndo mkuki kwa Nguruwe?

Mfano
Ally Hassan Mwinyi kahamia Zanzibar toka Kisarawe
Babu wa babu yake Maalim Seif kazaliwa Zanzibar
Hiyo ndio catch 22
 


Message ni ile ile inaendelea kama mabango awataki sasa wamekuja kivingine tena wakisindikiza na matarumbeta watu awawezi sahau asili yao Zanzibar ni nchi ya ....... na asiyetaka aondoke simple. wanzanzibari asili washaanza kuchoka na siasa za kubembelezana mapinduzi ayakuwa bure tu leo watu wasahau kirahisi rahisi
 

Nitashangaa kama hawajakamatwa hadi sasa.! ANGALIZO:Kati ya hao wanaoitwa machotara wako marais wastaafu!
 
Solution nafasi ya Urais iwe inazunguka kama ile nafasi ya mwenyekiti wa Afrika.mashariki.. kila baada ya miaka miwili mwingine anachukua kijiti..
 
Folks: huyu mjumbe kasema hataki Hizbu; ni haki yake. Kama wewe unataka Hizbu sema hivyo na wewe ni haki yako. Nani kakuzuia? Mbona majuzi tuliona machotara wakiona wanaume wao kwa wao na mwarabu kwani kuna mtu kalalamika.
 
na wewe pia ni mtumwa wa ubaguzi!
 

Wana JF huyu HZIBU ni nani?
 
Kweli mkuu, hapo ndipo tujue kuwa zanzibar inatawaliwa na ccm bara hata huyo shein yupoyupo tu, hana na hawezi kuamua lolote.
 
kwanza mbona sherehe ya mapindizi ilikuwa kama sherehe ya CCM na sio ya KITAIFA? kweli ccm wamechanganyikiwa!
 
Mkuu
Kwenye issue nyeti kama hii unaleta umbulula wako hapa !vipi machotara wa kiume waje kukuoa wewe au mama ako?
Maana tone ya maandishi yako inaonesha kuwa nawe una maoni kama ya hao wapumbavu wa ccm!Ni lini na wapi hao machotara wamekuletea nyodo?

Hahahaaa mkuu si wanakuja kuoa mabinti weusi bara watamuoaje mwanaume au mama yake mkuu?
 


Punguza uongo wanaoitwa Chogo ni wabara mkuu kawaida watu weupe hawanaga Chogo
 
UKidiriev sana utakuta hata huku bara wapo akina chotara na hizbu maeneo km arusha,mosh,tbra,,singda nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…