Ubaguzi: Machotara Hizbu, Zanzibar ni nchi ya Waafrika

Cha kushangaza hao viongozi wote wa CCM karibia wote wake zao ni machotora na watoto wa ni machotora.
Mkuu ni wewe?... kumbe kuna wakati unakuwa mzima na mwenye uelewa mzuri kabisa... hongera sana kwa kuuona ukweli
 
Kwa historia, ASP ni muungano wa makundi ndugu Africans (weusi) wanaojiita wazawa na Shiraz (weupe) wanaoitwa machotara. Leo wanageukana.

Wakishatengana huko ccm watakuja kututenga na sisi huku tuliko.
 
Halafu sukujua kuwa Maadhimisho ya Mapinduzi yanamilikiwa na CCM. Bila shaka wasio wanachama wanatakiwa kukaa mbali na shughuli hiyo. SAD!
 
Zanzibar mmetuchosha jamani. Kila uchwao ni keleleeeeeeee hadi kero. Hivi ccm si wampe huyo maalim seif huo uraisi hizi kelele ziishe. Kwani kuna aliyezaliwa kuongoza milele? Arghhhh mwisho wa siku mtajiletea maafa bure mfe nyie na watoto wenu.
Miafrika sijui ikoje
 
HII NI LAANA YA KUMKANA NA KUTOMHESHIMU JOHN OKELLO. Huyu aliyepigana na kuwaokoa wazanzibar kutoka kwenye mikono ya wanyonyaji,mabaradhuri na wauaji wakubwa. leo hii wanamuona si kitu. ALIBAGULIWA KWA SABABU YA JINA LAKE LA JOHN OKELLO. NA LAANA HII ITAENDELEA ZAID NA ZAIDI. MPAKA SIKU WATAKAPOTUBU.
 

teh teh teh ni wewe mudi said ulieleta huu Uzi au I'd yako imedukuliwa?¿ we we ni mbaguzi wahed unawabagua wagala as if umetoka kuzimu; utavuna unachokipanda! mkuki kwa inzir kwa binadam mchungu eeh?
 
Waunguja ambao wameandika hayo maneno wanasema kuwa wanamaanisha machotara wa HIZBU na sio wale wa ASP, lakini ubaguzi unabakia pale pale, yaani chotara wa ASP ni mwema lakini yule wa upande mwingine ndiye mbaya!. Kazi kweli kweli.
 
Acha watoboane macho ndo wataheshimiana maanake mtu wa bara ukiwa huko unabaguliwa kama nini.

Itakuwa una tabia za kishenzi ndio ulidharaulika. Ulikuwa unatongoza watoto wa jirani zako, unalewa mpaka unajisahau mchana kweupe, unabadilisha wanawake kila siku humo kwenye kijichumba ulichokodi, unafanya kijichumba chako ulichokodi kama bar, unatukana tukana ovyo na una tabia za kitapeli. Huo ndio utakuwa wasifu wako inavyoonesha.
 
MAGOZI MACHOGO ZANZIBAR NI NCHI YA VISIWA
 

Nakubaliana nawe kwa asilimia 98 kuhusu vijana hao kuweka bango hilo. Lakini lazima pia tuwe wakweli. wale waarabu waliondoka Zanzibar baada ya mapinduzi au waarabu hao waliopinduliwa bado wanadai (siyo rasmi) kuwa Zanzibar ni yao na kwamba kwa kuwa waliondolewa kwa mtutu wa bunduki watarejea kupitia sanduku la kura. Sasa hapo ndipo tatizo. Kinachoonekana hapa ni kuwa waarabu hao wanatumia baadhi ya viongozi wa CUF kutaka kurejea Zanzibar kwa njia ya kura...
 
mnashangaa nini...CCM wametubagua Mara ngapi huku bara?

si ni wao wametuita sisi vyama vya wachaga?

so ni wao wametuita chama cha kikristo na cuf chama cha kiislamu?

CCM ndio wamepanda mbegu ya ubaguzi hapa nchini.

sasa inaelekea kumea...ikikua hakuna atakayebaki salama
 
Usungur
Wao Watanganyika sisi Wazanzibar,
Wao Wazanzibara sisi Wazanzibar,
Wao Wapemba sisi Waunguja.
Dhambi ya ubaguzi itaendelea kuwatafuna.

Kila la heri Wazanzibari
Usungura wa nyerere haufui dafu kwa hekima ya mtu wa pwani
 
MAGUFURI EBU FUTILIA MBALI UFIRAUNI WA VIONGOZI WA CCM MABAGACHORI USIWAANGALIE USONI WASHENZI SANA. Wataipeleka shimoni Zanzibar ubaguzi wa wazi unao endelea Zanzibar ni kaburi la wazanzibar linalochimbwa na ccm.
Bila ya ubaguzi CCM kamwe haiwezi kushinda Zanzibar , kampeni za marejeo ya uchaguzi zimeanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…