Tetesi: Ubaguzi wa ajira kwenye Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Hii kitu ipo sana na si zanzibar hadi bara. Hata kama una vigezo vimejitosheleza.. bado watademand loyalt flan kutoka kwako either pesa au kuwa mwanachama.
Wewe ni muongo na mzushi , bara watu wanaajiriwa kwa kufuata vigezo vya umri na vyeti alivyonavyo , mie juzijuzi wadogo zangu wameajiriwa
 
Wacha unafiki huo wewe. yaani kila siku unaleta habari za kizushi hata aibu huoni.. Naweza kusema ajira za SMZ wanofaidika nazo wapemba. kwani ajira zote zinazotoka Pemba basi kama wazee wako wanatoka Unguja huwezi kupata hata uwe CCM lakini wao wapemba ajira za Unguja sehemu yeyote ya Unguja wanaomba hizo ajira.. Kama ubaguzi haukuanza leo musisi wa ubaguzi huo seif Sharif wakati alipokuwa waziri wa Elimu na waziri kiongozi kwa pale alidhihirisha chuki zake za wazi kwa watu wa Unguja.

Hakuna watu wabaguzi dunia hii kama Wapemba na Mission yao kubwa sana umuona mtu wa Unguja yuko chini na hafanikiwi hilo la kuitetea zanzibar ni ujanja wa kuwahadaa watu wachache wa unguja kutokujua nini kiko kenye nyoyo zao. lakini waunguja wengi wanaanza kutambua hayo. kwa hivyo wacha kueneza propaganda za kipuuzi
 
wewe ndio sarikali ? Mbona unakereketwa sana. Hoja yako ni nini ?
Mimi sio Serikali.

Hoja yangu usipopenda kubaguliwa na wewe usiwe mbaguzi iwe kwenye ajira,siasa,mpira etc

Sasa nyinyi wapemba mnaongoza kwenye kundi la ubaguzi nyanja zote.
 
Kumbe na mimi nishakuwa mpemba sasa ?. Ok. Baada ya yote tetesi ziko hivyo tunahitaji majibu kutoka kwa wenye dhamana.
 
Wacha unafiki huo wewe. yaani kila siku unaleta habari za kizushi hata aibu huoni.. Naweza kusema ajira za SMZ wanofaidika nazo wapemba. kwani ajira zote zinazotoka Pemba basi kama wazee wako wanatoka Unguja huwezi kupata hata uwe CCM lakini wao wapemba ajira za Unguja sehemu yeyote ya Unguja wanaomba hizo ajira.. Kama ubaguzi haukuanza leo musisi wa ubaguzi huo seif Sharif wakati alipokuwa waziri wa Elimu na waziri kiongozi kwa pale alidhihirisha chuki zake za wazi kwa watu wa Unguja.

Hakuna watu wabaguzi dunia hii kama Wapemba na Mission yao kubwa sana umuona mtu wa Unguja yuko chini na hafanikiwi hilo la kuitetea zanzibar ni ujanja wa kuwahadaa watu wachache wa unguja kutokujua nini kiko kenye nyoyo zao. lakini waunguja wengi wanaanza kutambua hayo. kwa hivyo wacha kueneza propaganda za kipuuzi

Kuna mti kwa watu wa pwani unaitwa utupa, naambiwa ukiutia kwenye malazi ya samaki unamuibua kiumbe yoyote aliyemo kwenye malazi. Hii mada imekuwa utupa kwa wote washabiki wa ubaguzi.
 
Better ungejibu hoja na kuthibitisha kwamba hakuna ubaguzi lkn huwezi. Leo unahalalisha wanayofanyiwa wenzako kama kwamba unalipiza kisasi kwa watu wasiohusika kutokana na mitazamo ya kufikirika. Mara Seif sijui kajamba sijui nini ? unafanya nini hapa kwenye mada ?

Tunazungumzia ishu nyeti kwa maslahi ya Taifa wewe unaleta Ukereketwa.
 
Hakuna cha maada hapo.. naliona porojo tu
 
Usihangaike na porojo kiasi hicho. Bora unyamaze tu.

Hizo taarifa zipo fuatilia kwanza na usijaribu kututoa kwenye mada.

Kuna mkakati wa kutoajiri wapinzani ambao unafanywa kwa usiri mkubwa sana.
 
Kwenye uajiri wa vikosi ndio kumeoza. Taarifa zinasema siku hizi husikii unaona watu wanaajiriwa kimkakati zaidi. Vikosi vya JKU, KMKM, MAGEREZA na VALANTIA hali inatisha.

Taarifa zinadokeza huko Valantia huko acha tu.
 
Better ungejibu hoja na kuthibitisha kwamba hakuna ubaguzi lkn huwezi. Leo unahalalisha wanayofanyiwa wenzako kama kwamba unalipiza kisasi kwa watu wasiohusika kutokana na mitazamo ya kufikirika. Mara Seif sijui kajamba sijui nini ? unafanya nini hapa kwenye mada ?

Tunazungumzia ishu nyeti kwa maslahi ya Taifa wewe unaleta Ukereketwa.
Mtu kama wewe haina haja kukujibu kwani unajulikana ni mtu wa aina gani.. uliyoleta wewe siyo hoja. na kumbuka response siku zote inatokana na suala ulilouliza kwa hivyo kama umeweka hoja haina mshiko na pumba tupu basi, majibu yake yanakuwa hayana tofauti na hoja yako.
Kwa mustakbali gani wa taifa.. nyinyi tangu mapinduzi mpaka hii leo ni watu wa kuhujumu tu.. na mnapoteza muda wenu wote kwa kupanga jinsi ya kuihujumu zanzibar lakini hamtofanikiwa milele
 
Usihangaike na porojo kiasi hicho. Bora unyamaze tu.

Hizo taarifa zipo fuatilia kwanza na usijaribu kututoa kwenye mada.

Kuna mkakati wa kutoajiri wapinzani ambao unafanywa kwa usiri mkubwa sana.
Hizo taarifa zimeanza kwa mungu wenu seif sharif katika harakati zake za kujiimarisha kisiasa na kuingiza dhana ya ubaguzi kwa wananchi.. yaani yeye tangu 1984 alipoanza anapiga tarumbeta ya kuwa wapemba waanabaguliwa. sasa nahisi kama wewe ndiyo unaeleta porojo
 
Mtu kama wewe haina haja kukujibu kwani unajulikana ni mtu wa aina gani.. uliyoleta wewe siyo hoja. na kumbuka response siku zote inatokana na suala ulilouliza kwa hivyo kama umeweka hoja haina mshiko na pumba tupu basi, majibu yake yanakuwa hayana tofauti na hoja yako.
Kwa mustakbali gani wa taifa.. nyinyi tangu mapinduzi mpaka hii leo ni watu wa kuhujumu tu.. na mnapoteza muda wenu wote kwa kupanga jinsi ya kuihujumu zanzibar lakini hamtofanikiwa milele

Yaani utadhani unajibizana na huyo unayemuita Maalim Seif. Huyu ni KISHADA WA JF.

Jibu hoja ya SMZ kuajiri kwa ubaguzi sio udhihirishe chuki zako kwa watu wengine wasiohusika. Ungejificha kidogo.

Na wewe tumekufahamu ni wale wale.
 
Hizo taarifa zimeanza kwa mungu wenu seif sharif katika harakati zake za kujiimarisha kisiasa na kuingiza dhana ya ubaguzi kwa wananchi.. yaani yeye tangu 1984 alipoanza anapiga tarumbeta ya kuwa wapemba waanabaguliwa. sasa nahisi kama wewe ndiyo unaeleta porojo

Mungu wa haki atusamehe. Bado tunazungumzia Ubaguzi wa ajira ndani ya SMZ. Hatubanduki.
 
Hili la uajiri bado watawala wana imani kwamba watapata kujinusuru na mamluki huko mbele katika harakati za kuinusuru CCM ibaki madarakani.

Ukweli ni kwamba CCM imeshakataliwa zanzibar, inachokifanya sasa ni njama za kuivuruga jamii na kubaguwa watu bure.

Hiki kinachofanywa kama ni kweli basi ni hatari sana kwa mustakbali wa Umoja wa kitaifa huko baadae. Hapo ndipo unapoona Umuhimu wa kuwa na GNU. Lakini kwa viongozi wa aina hii hawaoni ubaya huu leo baadae watakuja taka eti wasamehewe.
 
Kuzungumza ukweli ndiyo chuki! hamna hoja ya kujibu hapo kwa sababu SMZ hamna ubaguzi la serikali imeshamjibu mungu wenu
Yaani utadhani unajibizana na huyo unayemuita Maalim Seif. Huyu ni KISHADA WA JF.

Jibu hoja ya SMZ kuajiri kwa ubaguzi sio udhihirishe chuki zako kwa watu wengine wasiohusika. Ungejificha kidogo.

Na wewe tumekufahamu ni wale wale.
Kuzungumza ukweli ndiyo chuki! hamna hoja ya kujibu hapo kwa sababu SMZ hamna ubaguzi la serikali imeshamjibu mungu wenu
 
Wewe ni muongo na mzushi , bara watu wanaajiriwa kwa kufuata vigezo vya umri na vyeti alivyonavyo , mie juzijuzi wadogo zangu wameajiriwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kaka ulivyonikataa utadhani mwanachama wa ccm.
Anyway mm niko katika ajira siku nyingi, na niko kitengo safi kabisa.. nimesema hivyo kutokana na experience niliyoipata kipindi nasaka ajira. So kaka najua mateso yote, najua mbinu zote...
 
Samahani,

Mbona Mheshimiwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Rais wa Zanzibar anatoka Pemba, si angebaguliwa?

Haya mambo yapo lakin ni chini kwa chini. Mambo ya ubaguzi yamo kwenye damu za watu wengine hata watoto wao wanawabagua.
 
Lakini rais wa Zanzibar ni mwenyeji wa Pemba. Nadhani hii taarifa chanzo chake sio cha uhakika, ni tetesi tu.
 
Back
Top Bottom