Mkuu hii ni kuhusu nchi sio kabila,Zanzibar ni nchi sio jimbo,kuna ajira nyingi Tanganyika zinatolewa kwa watanganyika tu,umeshawahi kusikia mkuu wa Jeshi,mkuu wa Polisi,mkuu wa Magereza,waziri mkuu, nk. kupatiwa mtu kutoka Zanzibar, tangu muungano huu uanze,??!hivi sasa mmekwenda mbali hata bidhaa za Zanzibar hamtaki ziuzwe Tanganyika
Kwani watanganyika hawajijui wako wangapi!?hakuna nchi isiojua raia wake wako wangapi,nchi inatakiwa ijue vile vile raia wake wasiokuwa na kazi wako wangapi..
Huu mungano unvunike tu hauna maana yoyote..,Mkijazana Zanzibar watoto wetu tutawapa kazi gani?Wazanzibari walioko Tanganyika wengi wao wanajitegemea kibiashara,hawategemei ajira za serikali ya Mungano..