Tetesi: Ubaguzi wa ajira kwenye Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

JPM atakumbukwa kwa:-"hawa msiwavunjie wamenipigia kura,hawa wavunjiwe hawajanipigia kura,hawa wafukuze kazi vyeti vyao feki,huyu mwacheni kabila letu moja,huyu mpigeni risasi anapingana na mawazo yangu"...

Kwa ufupi JPM atakumbukwa kwa kuirejesha nyuma Tanzania kidemokrasia,na kupindisha haki za msingi kwa kila mtanzania,Tanzania ya leo kila mtanzania kajiininamia kwa msongamano wa mawazo,wale wenye uwezo wameanza kukimbilia Finland kwenda kutafuta ukimbizi,wengine waliobakia wamejawa na hofu ya maisha yao..

"Raisi wa ajabu haijawahi kutokea Tanzania":-TAL
"Tanzania inaongozwa na watu washamba" :-ZZK
Chabuso ni sehemu ya wale wanaolialia mitandaoni. Tanzania ya miaka 10 au 20 ijayo haitakuwa kama ilivyo leo.

Hayo ya ukabila na undugu hayakwepeki duniani pote, ni sehemu ya udhaifu wa mwanadamu, fly overs zikikamilika, viwanja vya ndege vikikamilika, terminal inayojengwa sasa ikikamilika, watakaofaidika na vyote hivyo hawatakumbuka kuhusiana na ukabila au undugu.

Mzungu anaitazama nchi yake miaka 50 kutoka leo itafanana vipi kiuchumi, muafrika na weusi wa roho yake anatizama leo na kesho kama taa ya baiskeli.
 
Anzeni na kujenga hizi shule

Shule Ya Msingi Juhudi Huko Kigoma

yabwatta.jpg

c9c16-nyumayashuleyakivukoni.jpg

SHULE ya Msingi Kivukoni iliyoko katika Kata ya Ikolongo wilaya ya Mpanda mkoani Rukwa haina vyumba vya madarasa licha ya kuwa na wanafunzi wa darasa la kwanza hadi la saba.

pic+shule+msingi.jpg

Hali ileile shule za msingi Nyamarere, Bweye
 
Wewe masikini wa mawazo.

Mwalabu - Mwarabu

😛😛😛 Mwalabu - Mwarabu😛😛😛😛😛

o5.jpg

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Mfalme wa Oman Mtukufu Sayyid Qaboos bin Said Al Said amemhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kuwa nchi hiyo ipo tayari kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuongeza uwekezaji katika viwanda, uzalishaji wa nishati, kuongeza thamani ya madini, kuendeleza sekta ya gesi na mafuta na kuendeleza ukanda wa uwekezaji wa Bagamoyo ili kukuza uchumi kwa kasi zaidi.

Ujumbe huu wa Mfalme wa Oman umewasilishwa kwa Mhe. Rais Magufuli na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Mhe. Dkt. Mohammed Hamad Al Rumhy aliyeongozana na Waziri wa Uwekezaji wa Oman Mhe. Salem Ben Nasser Al Ismaily na Naibu Waziri wa Utalii Mhe. Maitha Saif Majid, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Dkt. Rumhy ambaye ameongoza watu zaidi 300 waliokuja nchini kwa meli ya Mfalme wa Oman amesema ziara hii imelenga kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na Oman hususani katika masuala ya uchumi, ambapo Oman inabadilishana uzoefu na Tanzania kuhusu biashara ya mafuta na gesi, itajenga kiwanda kikubwa cha kuzalisha mbolea katika ukanda wa uwekezaji wa Bagamoyo, itajenga viwanda vya mazao na kununua mazao ya wakulima na itawekeza katika uchakataji wa madini ili kuongeza thamani.

“Mhe. Rais tunataka kushirikiana nanyi kuendeleza ukanda wa uwekezaji wa Bagamoyo, tunataka Bagamoyo isiwe eneo la bandari tu, bali pia liwe ni eneo ambalo tutajenga viwanda mbalimbali, tuzalishe mbolea na tununue mazao ya wakulima na kuyasafirisha, sisi tupo tayari na kesho tunakwenda kuangalia eneo hilo ili kazi zianze mara moja” amesema Dkt. Rumhy.

Kwa upande wake Mhe. Rais Magufuli amemshukuru Mfalme wa Oman Mtukufu Sayyid Qaboos bin Said Al Said kwa kutuma ujumbe huo na amemhakikishia kuwa Tanzania ipo tayari kuendeleza na kukuza zaidi uhusiano wake na Oman.

Mhe. Rais Magufuli amemtaka Dkt. Rumhy kufikisha ujumbe wake kwa Mfalme na wawekezaji wa Oman kuwa atafurahi kuona uwekezaji huo unaanza mara moja na kwamba Serikali itatoa ushirikiano wowote utakaohitajika kwa manufaa ya pande zote mbili.

“Mhe. Dkt. Mohamed naomba ukamwambie Mfalme kuwa namshukuru kwa ujumbe huu na namkaribisha sana Tanzania, nimefurahi kuona mpo tayari kushirikiana nasi kujenga viwanda, kuzalisha mazao na kuendeleza ukanda wa uwekezaji wa Bagamoyo, sisi tupo tayari hata leo, njooni tushirikiane kwa sababu nyinyi ni ndugu zetu na tutafanya uwekezaji kwa faida yetu sote” amesema Mhe. Rais Magufuli.

Aidha, Mhe. Rais Magufuli ametaka Oman iongeze ushirikiano na Tanzania katika masuala ya utalii na usafiri wa anga, kuwekeza katika usindikaji wa nyama na uvuvi na ushirikiano katika kubadilishana wataalamu wa nyanja mbalimbali wakiwemo walimu wa lugha ya Kiswahili na Kiarabu.

Amemshukuru Mfalme wa Oman kwa msaada kujenga visima vya maji 100 hapa nchini na amemuomba kuungana na Serikali katika safari yake ya kuhamia Dodoma kwa kujenga miundombinu itakayoweka kumbukumbu ya ushirikiano wa kidugu na kihistoria kati ya nchi hizi mbili.

Mazungumzo hayo yamehudhuriwa na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Medard Matogoro Kalemani na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Suzan Alphonce Kolimba.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
18 Oktoba, 2017
 
Chabuso ni sehemu ya wale wanaolialia mitandaoni. Tanzania ya miaka 10 au 20 ijayo haitakuwa kama ilivyo leo.

Hayo ya ukabila na undugu hayakwepeki duniani pote, ni sehemu ya udhaifu wa mwanadamu, fly overs zikikamilika, viwanja vya ndege vikikamilika, terminal inayojengwa sasa ikikamilika, watakaofaidika na vyote hivyo hawatakumbuka kuhusiana na ukabila au undugu.

Mzungu anaitazama nchi yake miaka 50 kutoka leo itafanana vipi kiuchumi, muafrika na weusi wa roho yake anatizama leo na kesho kama taa ya baiskeli.
fly overs = flying Overs...,Airport terminals haitamuondolea Mtanzania katika umasikini,mipango mizuri ya uchumi,uchumi unadhibitiwa na watanzania wenyewe,elimu bora kwa mtanzania ndio mipango kamili..,ndio itawaondolea watanzania ufukura..

Mkuu,sijui unajua Waithiopia wangapi wanakamatwa na uhamiaji wa Tanzania wanakimbia kwao?!unajua waithiopia wangapi wanazama na kufa maji wakikimbia nchi yao kuitafuta ulaya?!!..

Siasa za Magufuli hazina tafauti na siasa za Ethiopia,Ethiopia walifikiri wakijenga Miundo mbinu mizuri(infrastructure) ndio watawapoza wananchi,walifikiri kufanya hivyo waithiopia watakipenda chama cha tawala,kwahiyo chama tawala kitatawala milele..

CCM inataka kutawala milele Tanzania,chama cha CCM kinafanya kila mbinu na hila ili kizidi kuwatawala watanzania,CCM ni ving'ang'anizi wa madaraka,wanapenda kutawala..,wajihadhari wakitolewa madarakani waasalika milele kwa hawajajirekebisha

Kwahali ilivyo Tanzania kisiasa,wakati umefika kwa Tanzania kuwa na serikali ya kitaifa,Vyama vkubwa vya kisiasa viinginzwe kikamilifu katika serikali ya Tanzania,Vyama vya upinzani wapewe uwaziri,na vyeo vyengine katika serikali,inategemea na ukubwa wa ushindi wao, ili Tanzania kama nchi ipige hatua kimaendeleo kwa vizazi hivi na vijazo....

Nchi tunazozipigia magoti kuziomba misaada nyingi zao zina mfumo wa serikali ya kitaifa
 
Tatizo hayo unayoyatetea Mimi nishayashuhudia na nilikuwa miongoni mwa wafuatiliaji.
 
Vitu vingine vinakera sana.

Kuna watu wanafanya hii nchi ni mali yao binafsi, watu wanajisahau sana.
 
Ina maana kwanza unakiri kuwa haya yapo na ni sawa kufanywa.

Kwa hiyo haya ndio malipo ya Seif Sharif sio? halafu tunajiapiza kuwa tuna utawala bora na umoja ?

Kuna hio dhana kuwa Seif alipendelea lakini cha kushangaza tokea Baada ya Mapinduzi inajulikana ni nani waliojazwa kwenye serikali hadi leo hii. Sidhani kama hao wapinzani walipata nafasi yoyote. Hebu tuambie baada ya mapinduzi hadi leo kwenye vikosi, wizarani, mashirika, nk. nani wanaongoza kwa wingi ?.

Acheni ubaguzi kwa maslahi ya Taifa.

SMZ ijisafishe kwa ubaguzi kama upo.
QUOTE" SIKU ZOTE DHAMBI INA MALIPO YAKE NA HAPA KAMA KWELI SUALA HILI LIPO SMZ BASI MWENYE KUBEBA ZIGO HILI NI SEIF SHARIF'
 
Ni kweli kwa sababu alikataa kuwa kibaraka wa wakimbizaji wa mwenge mchana
 
fly overs = flying Overs...,Airport terminals haitamuondolea Mtanzania katika umasikini,mipango mizuri ya uchumi,uchumi unadhibitiwa na watanzania wenyewe,elimu bora kwa mtanzania ndio mipango kamili..,ndio itawaondolea watanzania ufukura..

Mkuu,sijui unajua Waithiopia wangapi wanakamatwa na uhamiaji wa Tanzania wanakimbia kwao?!unajua waithiopia wangapi wanazama na kufa maji wakikimbia nchi yao kuitafuta ulaya?!!..

Siasa za Magufuli hazina tafauti na siasa za Ethiopia,Ethiopia walifikiri wakijenga Miundo mbinu mizuri(infrastructure) ndio watawapoza wananchi,walifikiri kufanya hivyo waithiopia watakipenda chama cha tawala,kwahiyo chama tawala kitatawala milele..

CCM inataka kutawala milele Tanzania,chama cha CCM kinafanya kila mbinu na hila ili kizidi kuwatawala watanzania,CCM ni ving'ang'anizi wa madaraka,wanapenda kutawala..,wajihadhari wakitolewa madarakani waasalika milele kwa hawajajirekebisha

Kwahali ilivyo Tanzania kisiasa,wakati umefika kwa Tanzania kuwa na serikali ya kitaifa,Vyama vkubwa vya kisiasa viinginzwe kikamilifu katika serikali ya Tanzania,Vyama vya upinzani wapewe uwaziri,na vyeo vyengine katika serikali,inategemea na ukubwa wa ushindi wao, ili Tanzania kama nchi ipige hatua kimaendeleo kwa vizazi hivi na vijazo....

Nchi tunazozipigia magoti kuziomba misaada nyingi zao zina mfumo wa serikali ya kitaifa
Mkuu,umeandika meeengi lakini ulichokifanya ni kulalamika tu!!. Hakuna mafanikio yanayokuja bila ya watu kutoka jasho.

Ukienda Ulaya au kwingineko halafu ukaingia kwenye usafiri wa jamii ukaona watu wametulia hawana hofu maana yake ni kwamba kuna watu walitoka jasho miaka ya nyuma, there is no free lunch my dear friend!.

Kulaumu na kukejeli ni dalili ya uvivu ulio ndani kabisa ya vichwa, uvivu usio na msaada katika utatuzi wa shida za leo hii.
 
Mkuu,nakubaliana na wewe kuwa ulaya na kwengineko hivi sasa watu wametulia hawana hofu,lakini je umesoma historia za hizo nchi?nitakupa mfano: India demokrasi imeanza 6th century B.C,England demokrasia imeanza 1707,America 1788,,..,

Hizi nchi kwanza walianza kuwaachia raia wao huru kimawazo,wakawapa demokarasi,halafu ndio wakanza na mambo ya kujenga miundo mbinu na mambo mengine,maendeleo yanakuja pale raia wanapojisikia wako huru hawana woga

Mkuu, nikizungumzia neno "democracy" nakusudia utawala wa watu unaoheshimu watu,..utawala unaoheshimu haki za msingi za raia wake,raia kuwa na uwezo wa kuikosoa serikali yao,kuwa na uwezo wa kujadili yanayotokea katika nchi yao,nk..

Nyerere raisi wa kwanza wa Tanzania aliwahi kusema kuwa "maendeleo ya vitu sio maendeleo ya watu"

mnachokifanya nini ni kinyume chake,raia wa Tanzania wanaishi na hofu,raia wa Tanzania hawawezi kuikosoa serikali walioyoichagua,..halafu mnataka kujenga "flying overs" na miuundo mbinu mengine,bila ya kuwasomesha na kuwaacha huru kimawazo raia,maendeleo yatatokea wapi hapo!??

"Bunge",chombo cha kuwatetea raia, chombo cha kuwapangia sheria raia na mambo mengine ya msingi hamtaki raia waone wabunge wanazungumza nini!raia wamewachagua wabunge wakaeleze shida zao bungeni hamtaki raia waone nini kinaendelea humo ndani!!

Nchi yenye raia woga,inatengeneza nchi ya raia wajinga,nchi yenye raia wajinga na woga haiwezi kupiga hatua katika maendeleo...

Mkuu fanya utafiti kabla hujakurupuka na kuandika upuuzi,usiwe mvivu wa kusoma vitabu na kufanya utafiti wa jambo unalotaka kulizungumza..
 
Ni kweli kwa sababu alikataa kuwa kibaraka wa wakimbizaji wa mwenge mchana
MAALIM SEIF NDIYO KIBARAKA HALISI NA WENGI WENU HAMUMFAHAMU VIZURI MHESHIMIWA HUYU
LAKINI KILA KITU KINA MWISHO WAKE KWANI NINAAMINI KUNA SIKU HAO WATU WALIO KARIBU NAYE WATASEMA UKWELI PENGINE NDIYO HAPO MTAKAPO AMINI
 
Si ndiyo alikataa kuwa kibaraka wa kanisa katoliki sio kamai huyo aliyeitupa PhD yake mvunguni na kuruhusu mazombi washambulie watu usiku
 
1. JEE PALE ALIPOMSALITI MZEE JUMBE KWA MWALIMU NA KUTOBOA MIKAKATI YAO[ NA YEYE AKIWEMO NA BAADA YA PALE MZEE JUMBE AKAONDOLEWA, MAALIM ALIKUWA KIBARAKA WA NANI???
2. JEE WAKATI ULE ALIPOKUWA WAZIRI KIONGOZI CHINI RASI IDRIS ABDULWAKI[BAADA YA FITNA ZAKE DHIDI YA JUMBE] AMBAPO ALIMFANYIA INDA ZAKUTOSHA MZEE WA WATU NA PALE ALIPOANZA PEMBANAIZESHENI ALIKUWA KIBARAKA WA NANI?
DHAMBI ZA USALITI ZINAMUANDAMA NA HANA NAMNA YA KUKWEPA HILI [MUULIZENI HAMAD RASHID AWAAMBIENI KWA UNDANI KUHUSU HUYU MHESHIMIWA
USHABIKI USIO NA MANTIKI HAUNA MAANA.
 
Ulikuwepo alipomsaliti au wewe ni mshenga wake????

Jumbe alijisaliti mwenyewe kwenye sherehe za mapinduzi 1984 kwa kutangaza vita dhidi ya Muungano mbele ya kadamnasi ya watu pale uwanja wa Amani ??? Unafikiri Laanatullahi Nyerere atamuwacha ??

Huyo Jumbe dhambi za usaliti zilimuanza pale alipokwenda kwenye Radio January 1964 na kutangaza Ushindi wa Uvamizi.

Kabla hapo walikula kiapo kutokwenda kinyume na serikali

Hamad Rashid muulize wewe labda ndiye unayemsaidia deni lake alilochukua kule Bank kuendeleza biashara zake za kuuza vyuma kule India
 
Inaelekea wewe hufahamu sababu ya jumbe kuondolea madarakani baada ya kusalitiwa na mwanaharaki mwenzake kwa kuvujisha mipango yao kwa mwalimu.
Hebu fanya utafiti vizuri wa siasa za zanzibar kabla na baada ya mapinduzi, na pia itafaa kama utasoma kitabu cha marehemu Aboud Jumbe Mwinyi.
Ninanukuu sehemu ya maandishi ya Sheikh Mohamed Said ambaye aliye hadithiwa na marehemu sheikh Aboud Jumbe Mwinyi kisa cha mgogoro wake na mwalimu JK.

"Siku moja Mzee Jumbe alitupa kisa cha, ‘’The Long Letter.’’ Hii barua ndefu ilikuwa ile barua iliyotayarishwa na Bashir Swanzy Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar ndani yake yakiwa mashtaka dhidi ya Muungano kuhoji uhalali wa wa Muungano. Barua hii ilikuwa imekusudiwa iwasilishwe kwenye Mahakama Maalum ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano. Mzee Jumbe alikuwa akitualika mara kwa mara nyumbani kwake na yeye akipenda sana kuandalia. Mzee Jumbe akikualika nyumbani kwake kula, inabidi ujitayarishe vyema kwani alikuwa akichafua uwanja. Ilikuwa katika moja ya barza zetu kama hizi ndipo siku hiyo akatuhadithia yale yaliyotokea Dodoma kati yake na Nyerere kupelekea yeye kujiuzulu nyadhifa zake zote. Mzee Jumbe alikuwa ana namna ya kuhadithia jambo hata liwe zito vipi, wewe msikilizaji likakufikia kwa wepesi na wakati mwingine katika njia ya kukufanya ucheke. Alikuwa keshatuhadithia jinsi mashtaka yale yalivyokuwa yametayarishwa na hapo ndipo alipokuja na jina hilo la, ‘’The Long Letter,’’ na sisi ikawa huo waraka tunauita, ‘’Long Letter,’’ kama yeye mwenyewe, katika njia ya utani alivyopenda kuita.

Mzee Jumbe alipokuwa anaeleza kupotea kwa waraka ule na ukaibuka mikononi kwa Nyerere Dodoma, Mzee Jumbe alikuwa akituchekesha alivyokuwa akitueleza jinsi Nyerere alivyoinga’nga’nia, ‘’The Long Letter,’’ na akawa anasoma vipande alivyovipenda yeye na Jumbe akimwambia endelea na soma na mahali pengine, Nyerere alivyokuwa hataki akishikilia hapo hapo kama mtoto mdogo aliyepewa pipi na sasa anahisi anataka kunyang’ang’anywa. Huku tukishusha biryani na juisi baridi, hakika ilikuwa ni burdani ya aina yake. Mzee Jumbe akicheka na sisi wasikilizaji tukicheka pia. Mzee Jumbe Uislam na kukubali qadir ya Allah kulikuwa kumemweka pazuri sana. Mzee Jumbe hakuwa mtu aliyejuta kutoka katika uongozi kiasi alikuwa sasa anatushekesha kuhusu madhila ya uongozi. Akawa siku zote tukiizungumza na yeye kuhusu, ‘’The Long Letter,’’ masikitiko yake ni kuwa kuikosa, ‘’The Long Letter,’’ hawezi kuandika kitabu kuhusu matatizo ya Muungano.

Siku zikenda na miaka ikapita. Siku moja tuko kwake akatuangushia bomu lililotuacha midomo wazi. Mzee Jumbe akatuambia kuwa, ‘’The Long Letter,’’ kaiona nyumbani kwake Migombani kwenye, ‘’Study Room,’’ yake. Tulimuuliza Mzee Jumbe kaiona vipi? Yeye akatujibu kuwa na yeye amepigwa na mshangao kama tulivyopigwa sisi. Akatuambia kuwa na keshaanza kuandika kitabu. Siku zile Mzee Jumbe tayari alikuwa keshaanza kupoteza nuru ya macho na akiandika na kusoma kwa msaada wa ‘’lens.’’ Iko siku mimi na mwenzangu sasa tukihariri mswada wa kitabu cha Mzee Jumbe kilichokuja kujulikana kama, ‘’The Partner-ship: Tanganyika-Zanzibar Union 30 Turbulent Years.’’ alitualika nyumbani kwake Zanzibar Migombani na tulisafiri meli moja. Siku ile alituingiza katika ‘’Study Room,’’ yake na akatuonyesha ‘’desk,’’ alipoikuta, ‘’The Long Letter,’’ikimsubiri, imerejeshwa kama ilivyoibiwa ofsini kwake Ikulu Zanzibar. Kwangu mimi binafsi ilikuwa furaha ya pekee. Nakumbuka wakati tumekaa tunajiuliza ni nani aliyeirudisha, ‘’The Long Letter,’’ nyumbani kwa Mzee Jumbe na asionekane na mtu. Hakika kilikuwa kitendawili. Mzee Jumbe alikuwa mtu wa kupenda kuandalia chakula kama nilivyosema hapo awali. Wakati sote tumeinamisha vichwa tunamsikiliza jinsi alivyoiona, ‘’The Long Letter,'' ghafla wakaingia watu wa ‘’catering,’’ na mavazi yao meupe wamebeba sahani za vyakula wanatuandalia. Ilikuwa kiasi cha saa kumi na moja jioni.

Kile ambacho Aboud Jumbe hakupewa nafasi kukisema Dodoma Allah akamuwezesha kukisema miaka kumi baadae kupitia kitabu chake, ‘’The Partner-ship: Tanganyika-Zanzibar Union 30 Turbulent Years.’’ Mzee Jumbe alikuwa mtu wa vichekesho sana. Tulikuwa tunachagua picha za kitabu sasa tukawa tunaangalia picha moja Karume na Nyerere wamepanda gari la wazi. Mmoja wetu akamuuliza Mzee Jumbe, ‘’Hii picha tuweke, ‘’caption gani?’’ Mzee Jumbe mara moja hapo kwa hapo akajibu, ‘’Karume being taken for a ride by Nyerere.’’ Sote tuliangua kicheko."
 
Wewe ni mtoto mdogo ??? Sisi tulikuwepo Uwanja wa Amani na pia tulimsikia Jumbe akitutangazia ushindi wa uvamizi 1964 wakati tukipelekwa pale Skuli ya Rahaleo na wazee wetu.

Hiyo nukuu yako ni wapi Jumbe alimtaja Maalim kuwa ni msaliti ?? au kiswahili kinakupiga chenga

Usihukumu au nawe utahukumiwa

Laana itakuwa wanayo wanyonge ambao wanaikataa CCM kwa njia ya kidemokrasia na Amani nyinyi CCM mkisaidiwa na Wavamizi wa Kikatoliki kutoka Dodoma mkalitumia jeshi kufuta uchaguzi

Nani mwenye kulaaniwa , watu ndio wanapigwa marisasi kwenye viunga vya bunge , wengine wanasafiri na mabasi risasi zinawauwa kama mvua na wengine wanapotea na wengine wanaokotwa coco beach , hivi nani asiye laana ???
 
Back
Top Bottom