misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Kwa mfano wewe mbara nataka kuoa mwanamke Mpemba familia mzima ya kipemba wanakubagua,hamchangamani na sio wapemba wenzenu.Mbona sisi wengine tulioa huko Pemba hata kabla mapinduzi na hatujafanyiwa ubaguzi wowote ???
Mbona vijana wengi wameondoka kwa kubaguliwa baada ya kukoseshwa masomo kwa sababu ya kabila zao ?? Haya yametokea baada ya mavamizi.
watoto wangu waliozaliwa Pemba , ili wapate elimu ya juu imebidi tuwabadilishe vyeti , tuandike wametoka Unguja , haya ni ni hivi karibuni kwani wenzao wamekoseshwa nafasi za masomo waliokuwa na vyeti vya kuzaliwa vya Unguja .
Hamwoni kuwa mnafuata sera ya kanisa katoliki ???
Utakataa kwamba hamna ubaguzi?