Jungo Mota
Member
- Apr 9, 2018
- 42
- 38
Wewe ni muongo na mzushi , bara watu wanaajiriwa kwa kufuata vigezo vya umri na vyeti alivyonavyo , mie juzijuzi wadogo zangu wameajiriwaHii kitu ipo sana na si zanzibar hadi bara. Hata kama una vigezo vimejitosheleza.. bado watademand loyalt flan kutoka kwako either pesa au kuwa mwanachama.
Mimi sio Serikali.wewe ndio sarikali ? Mbona unakereketwa sana. Hoja yako ni nini ?
Mimi sio Serikali.
Hoja yangu usipopenda kubaguliwa na wewe usiwe mbaguzi iwe kwenye ajira,siasa,mpira etc
Sasa nyinyi wapemba mnaongoza kwenye kundi la ubaguzi nyanja zote.
Wacha unafiki huo wewe. yaani kila siku unaleta habari za kizushi hata aibu huoni.. Naweza kusema ajira za SMZ wanofaidika nazo wapemba. kwani ajira zote zinazotoka Pemba basi kama wazee wako wanatoka Unguja huwezi kupata hata uwe CCM lakini wao wapemba ajira za Unguja sehemu yeyote ya Unguja wanaomba hizo ajira.. Kama ubaguzi haukuanza leo musisi wa ubaguzi huo seif Sharif wakati alipokuwa waziri wa Elimu na waziri kiongozi kwa pale alidhihirisha chuki zake za wazi kwa watu wa Unguja.
Hakuna watu wabaguzi dunia hii kama Wapemba na Mission yao kubwa sana umuona mtu wa Unguja yuko chini na hafanikiwi hilo la kuitetea zanzibar ni ujanja wa kuwahadaa watu wachache wa unguja kutokujua nini kiko kenye nyoyo zao. lakini waunguja wengi wanaanza kutambua hayo. kwa hivyo wacha kueneza propaganda za kipuuzi

Hakuna cha maada hapo.. naliona porojo tuKuna mti kwa watu wa pwani unaitwa utupa, naambiwa ukiutia kwenye malazi ya samaki unamuibua kiumbe yoyote aliyemo kwenye malazi. Hii mada imekuwa utupa kwa wote washabiki wa ubaguzi.
Hakuna cha maada hapo.. naliona porojo tu
Mtu kama wewe haina haja kukujibu kwani unajulikana ni mtu wa aina gani.. uliyoleta wewe siyo hoja. na kumbuka response siku zote inatokana na suala ulilouliza kwa hivyo kama umeweka hoja haina mshiko na pumba tupu basi, majibu yake yanakuwa hayana tofauti na hoja yako.Better ungejibu hoja na kuthibitisha kwamba hakuna ubaguzi lkn huwezi. Leo unahalalisha wanayofanyiwa wenzako kama kwamba unalipiza kisasi kwa watu wasiohusika kutokana na mitazamo ya kufikirika. Mara Seif sijui kajamba sijui nini ? unafanya nini hapa kwenye mada ?
Tunazungumzia ishu nyeti kwa maslahi ya Taifa wewe unaleta Ukereketwa.
Hizo taarifa zimeanza kwa mungu wenu seif sharif katika harakati zake za kujiimarisha kisiasa na kuingiza dhana ya ubaguzi kwa wananchi.. yaani yeye tangu 1984 alipoanza anapiga tarumbeta ya kuwa wapemba waanabaguliwa. sasa nahisi kama wewe ndiyo unaeleta porojoUsihangaike na porojo kiasi hicho. Bora unyamaze tu.
Hizo taarifa zipo fuatilia kwanza na usijaribu kututoa kwenye mada.
Kuna mkakati wa kutoajiri wapinzani ambao unafanywa kwa usiri mkubwa sana.
Mtu kama wewe haina haja kukujibu kwani unajulikana ni mtu wa aina gani.. uliyoleta wewe siyo hoja. na kumbuka response siku zote inatokana na suala ulilouliza kwa hivyo kama umeweka hoja haina mshiko na pumba tupu basi, majibu yake yanakuwa hayana tofauti na hoja yako.
Kwa mustakbali gani wa taifa.. nyinyi tangu mapinduzi mpaka hii leo ni watu wa kuhujumu tu.. na mnapoteza muda wenu wote kwa kupanga jinsi ya kuihujumu zanzibar lakini hamtofanikiwa milele
Hizo taarifa zimeanza kwa mungu wenu seif sharif katika harakati zake za kujiimarisha kisiasa na kuingiza dhana ya ubaguzi kwa wananchi.. yaani yeye tangu 1984 alipoanza anapiga tarumbeta ya kuwa wapemba waanabaguliwa. sasa nahisi kama wewe ndiyo unaeleta porojo
Kuzungumza ukweli ndiyo chuki! hamna hoja ya kujibu hapo kwa sababu SMZ hamna ubaguzi la serikali imeshamjibu mungu wenuYaani utadhani unajibizana na huyo unayemuita Maalim Seif. Huyu ni KISHADA WA JF.
Jibu hoja ya SMZ kuajiri kwa ubaguzi sio udhihirishe chuki zako kwa watu wengine wasiohusika. Ungejificha kidogo.
Na wewe tumekufahamu ni wale wale.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kaka ulivyonikataa utadhani mwanachama wa ccm.Wewe ni muongo na mzushi , bara watu wanaajiriwa kwa kufuata vigezo vya umri na vyeti alivyonavyo , mie juzijuzi wadogo zangu wameajiriwa
Mbona Mheshimiwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Rais wa Zanzibar anatoka Pemba, si angebaguliwa?Ubaguzi wa Zanzibar kwa Wapemba unafanywa na Ccm kwa maagizo kutoka juu. Ni sera ipo Zamani kama vile Tanganyika wanavofanyiwa
Samahani,
Mbona Mheshimiwa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Rais wa Zanzibar anatoka Pemba, si angebaguliwa?